Hapa Obama alikuwa ashasoma cable za Purnell Delly????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa Obama alikuwa ashasoma cable za Purnell Delly?????

Discussion in 'Jamii Photos' started by Jumboplate, Jan 6, 2011.

 1. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inaonekana kama Obama alikuwa anamshangaa mshkaji kwa uzushi kwani tayari alikuwa ameshazisoma habari toka kwa Hosea kuwa jamaa mwoga..............
  [​IMG]
   
 2. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Utajua tu hapo yupi omba omba na yupi mzushi kisha yupi mwenye hela.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mbona picha ya kitambo sana kbala ya ata sakata la Hosea
   
 4. d

  dotto JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  jamaa mpaka kwa karatasi
   
 5. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Jamaa anaboreka anahamu mazungumzo yaishe akacheze kikapu.....
   
 6. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naona mkuu yuko na desa lake aliloandaliwa na akina January Makamba. Hawezi kumwaga nyanga bila desa!!!!! Duuuuh.
   
 7. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45

  Haha
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  huwezi vuka bahari bila kivuko
   
 9. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  dah hii kama kweli usemacho
   
 10. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mpaka aibu, jamaa anajielezea kwa jitihada zote. Hapo alikua anaomba Obama aje kugawa Neti tena kama alivofanya Bush...!
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,205
  Trophy Points: 280
  "mwisho wa mazungumzo aliomba ma-aple kumi hapo pembeni akaweka kwenye mfuko wa koti kuwaletea watanzania msaada aliopata kwa hiyo trip". Mwisho wa nukuu.

  Halafu ni noma sana unapomwambia kitu mtu kumbe tayari ana taarifa zako zinakuonyesha ulivyo uchi.
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaa kazi kweli kweli
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Njowepo umesome kweli WikiLeaks? Obama kawa Rais 2008. Sakata la Purnell limetokea 2007!
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Obama alikuwa anajiuliza inakuwaje eti watanzania wamemchagua kilaza wa namna hii kwa 80% vote. Mazungumzo ya kawaida lazima awe na makaratasi. First and ugly of it's kind
   
 15. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Obama ana admire JK alishika nondo yake halafu anashuka kiuhakika kuomba misaada mbali mbali toka marekani
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo inaonesha uelewa mdogo wa mambo,kuna haja gani kwenda na makaratasi kama vile unaenda kujibu mtihani?Sikushangaa Rais wetu alipoulizwa swali kwnini Tanzania ni masikini?Naye akajibu HATA MIMI SIJUI!!
   
 17. M

  Mpendagiza Member

  #17
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha hapa angekuwa Dr nadhani wangeelewana na Obama,bt huyu mkwerer ni pumba tu
   
 18. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mpaka jk anaongea kwa mikono ....teh teh teh...
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Akiulizwa swali lilo nje ya hilo desa nadhani hali yake itakuwa mbaya sana
  Anweza sahau hata kilichompeleka.
   
 20. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  mkwere anasoma lisala wakati hawajakubaliana, Obama kaboreka
   
Loading...