Hapa nitakuwa nimepigwa changa la mcho?

Hapa nitakuwa nimepigwa changa la mcho?

Huukuliza bikra ipi?huenda alimanisha bikra ya mku**ndu,poleee kijana mwenzangu umeingizwa cha kikee!
 
basi kwa style hiyo tutakoma mwaka huu kila demu atasingizia yeye bado hajafunguliwa

mie nimeshaanza kutumia huo ujanja sitakiii siku ukijaingia unakutana na bwawa... nakwambia ooh maumbile yamekuwa
 
mie nimeshaanza kutumia huo ujanja sitakiii siku ukijaingia unakutana na bwawa... nakwambia ooh maumbile yamekuwa
ukimpata mbunifu wa yale mambo ujanja wako wote mfukoni hukumbuki hata huko kuact kwako hata kidogo sijui unaumia sijui nini sanasana utakuwa coperative mwanzo mpk mwisho
 
Inawezekana kwa 100% mtu awe na bikra na siku ya kwanza kugegedwa isitoke damu hata tone, lakini maumivu unayapata.

Me nilishapata janga hilo nikaonekana nimedanganya. Kwa hiyo kaka isikuumize kichwa na mtu anayeigiza na anayesema ukweli unamjua so nna uhakika lazima kuna sign ulipata kujua ni mkweli au anaigiza. Ondoa shaka
 
Nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana. Wakati namtongoza alikuwa mbishi sana kuhusu suala la kufanya mapenzi,.

Sasa katika kuendelea na ubishi wake mi nikaona si vibaya niende nae taaratibu, huenda siku moja atalegeza kamba, na kwa madai yake alikuwa ananiambia hataki kwa sababu yeye bado bikra na asingependa kufanya kitendo hicho mapka siku atakapo olewa.

Sasa siku moja tukatoka tuakaenda kutembea, tukarudi kama saa 5 hivi usiku,tukapitia getoni kwangu, ikabidi nimbembeleze anipe mzigo lakini aligoma kwa msimamo wake uleule. Katika kubishana tukashitukia imeshafka sa 6 usiku.

Ikabidi nimwambie sasa hivi ni usiku sana huwezi kwenda nyumbani, hivyo lala ila kesho utadanganya nyumbani kwamba ulikuwa kwa ndugu zako. Kutokana na muda ule alikubali ila kwa shingo upande.

Rohoni nikarukaruka kwa furaha kwamba leo lazima nile mzigo tena mpya!(bikra kama alivyokuwa akiniambia), furaha yangu ilizidi pale aliponiambia naomba maji nikaoge, nikasema yes, anaenda kunioshea! Nikamuwekea maji bafuni.

Nilistuka kidogo tukiwa chumabani pale aliponiambia
"toka kidogo nitoae nguo nikaoge", nlijiuliza maswali, yani nitoke yeye avue nguo akaoge, sasa tutalalaje, atalala na nguo ama? Nilimbishia kidogo, "kwani unaogopa nn? Acha aibu zako bana!" lkn alishikilia msimamo wake huohuo.

Nilikubali nikatoka nikaenda kukaa sebuleni, alipo maliza kuoga nikarudi chumbani nikakuta amevaa shuka, lilikuwa kabatini.
Basi tukalala, mi kama kawida na boxer yangu, yeye alikuwa amevaa shuka na ndani alikuwa hajavaa kitu chochote.

Kimbembe kilianza kwenye kuomba gemu sasa, hapo inakimbilia saa 7:30 usiku. Yule demu aligoma kabisa, pamoja na ujanja wangu wote wa kubembeleza kimahaba siku ile niligonga mwamba.

Mikajiuliza hivi huyu ni mtu au nini hiki? Kwa sauti ya upole akaniambia "samahani, najua unaumia, lakini kama nilivyo kwambia mimi hiki kitu sijawahi kufanya na nisingependa kufanya kwa sasa, naomba unisamehe" nikajaribu kama kumforce, lakini alitoka akenda kukaa kwenye kiti nikamfuata, katka mabishano demu alivaa nguo akaniambia naenda nyumbani.

Nlifikiri anatania, nlipooana amekomaa, nikakubali yaishe, nikamwambia basi njoo tulale, sitakulazimisha kufanya hicho kitu. Lakini alishikilia msimamo wake kwamba naondoka, hapo ilikuwa imeshafika saa nane usiku.

Nilimuonea huruma nikamwambia muda huu wote nyumbani utasema uliwa wapi? Japo nyumbani kwao na kwangu hakuna umbali... Lakini demu aliondoka, sikuamini macho yangu.

Sasa, baada ya kumuomba msamaha kwa yaliyotokea, akawa anakuja kwangu, na tukawa tunaishia kupiga stori tu bila kugusia suala la mapenzi.
Siku moja katika kupiga stori, tulikwa tumejipumzisha kwenye kapeti chini,mi nilikuwa nmelala chali yeye akawa amelala juu yangu, alafu tumetazamana, sasa dushelele langu likawa linamgusagusa kwenye K yake, kumbe alikuwa anazidi kuchanganyikiwa, baadae alibadilika kabisa, tukahamia chumbani.
Sasa wakati namgonga sikuiona hiyo bikra aliyokuwa akiniambia, na hiki ndicho kilichonifanya niandike uzi huu! Ingawa wakati nagonga huwa analalamika kumia na kama siko makini anapiga kelele hadi majirani wanasikia.

Kwa uzoefu wangu masichana bikra siku hiyo lazima atoke damu, lakini huyu hazikutoka hata kidogo. Nmemuliza akasema yeye anajua hajawahi kufanya mapenzi, ila kuhusu hiyo damu hajui, na kwakweli ni mshamba fulani hivi kwenye mabo ya mapenzi. Sasa hapa sinimepigwa changa la macho? Au wadau nisaidieni hapa.

^^
Kuna mada nimewahi kuleta humu, kuelezea bikra ilivyo. Unaweza kupitia ukipenda
^^
 
Jamani hizi bikira kumbe ni dili hivi maana naona topic kibao watu wanalilia bikira bikira! Hebu ngoja nikakamulie ndimu niianike juani mie... lol
 
Hivi hayo mabikira mnayapendeaga nini vile!
Siku ya mwisho utaulizwa ulitoa ngapi kisha kunakitu utazawadiwa au vipi?
Sielewagi na huwa nashangaa wale wanao ziona za maana sana..!
 
mpeni moyo tu jamaa yenu bikira ya ukweli damu lazima maana tundu huwa dogo sana kwa ajili ya kupitisha mkojo tu,.
huu ni uongo mtakatifu,mkojo haupiti kwenye tundu ambalo unaingza uume au anapopitia mtoto. Mfumo wa mkojo wa mwanamke ulitakiwa uwe umeujua darasa la tano.
 
Thread haina jipya hii Mods fanyeni mpango mzuri ifutwe maana kashiba sana hata faragha zake unakuja uliza jf kweli:crazy:
 
kwani uliambiwa ukitoa bikra utapewa hela za bure? we nenda ukapime nae ukimwi mjue kama afya zenu ziko salama...hayo mambo ya bikra waachie wadogo zako wa form 2..

Mkuu huyu naye si wa form two pia?! Manake huu uzi wake ni kama wa lika hilo!
 
mpeni moyo tu jamaa yenu bikira ya ukweli damu lazima maana tundu huwa dogo sana kwa ajili ya kupitisha mkojo tu,unapo taka kuingiza uume lazima damu itoke maana lile tundu linalazimishwa kutanuka na ule utandu unozunguka unapasuka, labda kama iliyaharibiwa kwa namna yoyote ile.

Hahahaaaa. We kaka umenichekesha sana.
Itakubidi urudi kwa mwalimu wako aliyekufundisha biology kama ulisha maliza shule. Kama bado hebu muulize.
Unapotoka mkojo na inapotoka bikra ni sehemu mbili tofauti.
Hakuna utandu wowote kwenye vina vya uzazi vya mwanamke bali bikra ni upya wa maungo yake tuuuu. Hakuna kinachopasuka.
Damu inaweza toka au isitoke inategemea.
Na aliyekutana nae ndiyo maana ukimkuta mstaarabu basi huyo dada hataumia.
 
Back
Top Bottom