Surah Maryam 19:71-72
“Na hapana yeyote kati yenu ila atafika humo (Motoni); jambo hili ni amri iliyoamuliwa na Mola wako.
Kisha tutawaokoa wale waliokuwa wakimcha Mungu na tutawaacha humo wakiwamo maghali (wenye dhulma) walio ndani yake.”
وَاِنۡ مِّنْکُمْ اِلَّا وَارِدُهَا ؕ كَانَ عَلٰى رَبِّكَ حَتۡمًا مَّقۡضِيًّا ﴿٧١﴾
Wain minkum illa wariduha kana AAala rabbika hatman maqdiyyan
Neno wa wariduha lina maana sawa na kupitia.
Uislam unafundisha kuwa njia ya kwenda peponi, unapitia motoni, napo kuna daraja jembamba mnooo, mithili ya wembe..
Sasa hapo watu watakaopita kwenda peponi, kuna watakaoshindwa kuvuka na kuangukia motoni, kuna watakao vuka lakini watapata ule ukali wa moto kutegemea na madhambi yao(usafi wao) kuna wengine watapita hapo bila kuhisi kitu.
Ndio kitu kinaitwa sirat, katika quraan na hadithi kadhaa za mtume kazelezea sirat na maelezo yake yanafanana na hicho nilichozungumza juu hapo.
Hivyo ni kweli watapita jui ya moto, kuna watakaovuka kwa rehma ya mwenyezimungu, kuna watakaofeli na kuchomwa, n.k