Hapa nimeshakamata namba akisogea mtu tatatoana ngeu!

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
Shikamoo Mzee PK! Naomba unikubali niwe mwanao, ule uzushi wa hapa JF ni uongo mtupu na thread zake mie wala huwa sichangii.



1461390_769981619732489_4573054133956833110_n.jpg
 
Daah lakini myuma pasiiiiiiiiiiiiiiii. Mwanamke wa kiafrika angalau uwe na mzigo japo usiwe mkubwa kama mzigo wa jambazi
 
Kuna mtu anaweza kunisaidia muda?

jamani sasa hivi saa ngapi?
 
Hiyo title yako hapo juu na huyu binti utasimamia ndoo tena zile za chuma kumb.usu. Ata awe mzuri na mvuto kiasi gani lazima niwe mrefu zaidi yake. La sivyo tutazinguana, alafu nyuma ka pasi imepita vile.
 
Back
Top Bottom