Hapa ni wapi?

Hapa ni wapi?

bangi mbaya sana mkuu
dodoma unaijua vizuri wewe ?
mbeya hiyo mkuu na picha imepigwa ukiwa unaelekea mlima LOLEZA

Aloipiga alikuwa kwenye jengo la CRDB hapo karibia na centre,mbele kidogo ya uwanja was sokoine
 
Yaani kwa kuwa labda nimekosea jibu basi mimi natumia bangi? K.m. kweli wewe!

no way.... akutake radhi yaishe coz inaonekane kwao bangi ndo majani ya chai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom