Hapa ni wapi?

Hapa ni wapi?

Coaster ya Ndwanga Mwafirombe Mwambifirefire Mwakifurefure Mwafwengwa hii, inapiga trip za Tukuyu-Mbeya, hapo ni pande za mporoto.

Ha ha ha !
Akikusikia Mwakisopile, Mwansasu, Mwambipile,Mwankanye wa pale Tukuyu na Andendekisye Mwasakyeni,Asegelile Mwakitalu wa kule Mwakaleli basi kesi yako itaamuliwa pale Mwanjelwa!
 
Kwa kuwa pana ukungu plus hizo kona zinazoonekana patakuwa njia ya tukuyu maeneo ya upoloto
 
Back
Top Bottom