Hapa ni sokoni kipindi hiki cha Corona!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,900
95,397
mangekimambi__B_pDszMB-6f.jpg
 
Hapana, nimekuwa nikipita maeneo ya feri katika hali ya kujitafutia kipato. Ni kweli sio wote wavaao barakoa ila % 85-90 wanavaa. Hio picha ya mleta mada anapotosha hali ilivyo kwa sasa. Sijui lengo lake ni nini hasa
 
Wapi nimesema ni feri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom