Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,327
Kanisa Katoliki Iringa(Mshindo)kwa chini ni mitaa miwili,mtaa wa Kanisani na kulia kidogo mtaa wa Mjimwema,Mivinjeni.
Ayiii jamani.......sasa hiyo miti nitapajuaje sasa.......hakuna clear picture........haya na wewe niambie hapa ni wapi........?
Ulivyo jibu kwa kujiamini mwee utadhani kweli vile.
Hapo ni Mbeya mjini maeneo sio mbali sana na hospitali ya METANije jibu hapa ni wapi na mkoa gani?
Ayiii jamani.......sasa hiyo miti nitapajuaje sasa.......hakuna clear picture........haya na wewe niambie hapa ni wapi........?
hapo ni kule kwetu mbona
una uhakika?Hapo ni Mbeya mjini maeneo sio mbali sana na hospitali ya META
Ha ha ha,hapo itakuwa twa twa twa Morogoro
Nije jibu hapa ni wapi na mkoa gani?
Hapo ni Yaeda meku..........home land........home sweet home........
Marangu kotela
Hahaha kwa makundi🏣🏣
Hapo ni Ntwara!