Hapa ni mkoa gani?

kigoda

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,782
1,195
Hapo ni mkoa wa Njombe hilo jengo lipo Makete Ikonda kijiji cha luchala. Idawa anapafaham vizuri. Karibuni mgao wa escrow
 

Itonjanda

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
639
250
Hapo ni kanisa katoliki misheni ya Mkowe wilaya ya Rwangwa huko kusini ya Tanzania ( LINDI )
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom