Hapa ni kwa wanawake tu


Si wewe ndiye uliyesema kiswaenglish ndiyo lugha yakuonekana umeelimika, kwa akili finyu, zilizoeleka kwa watu wengi
 
Kwanza ww kabila gani? Maana maandishi yako kama muindi aisee!!
 

hii muvi mi nimeangalia ila huyo price tag mbona hata simkumbuki?
 
hii muvi mi nimeangalia ila huyo price tag mbona hata simkumbuki?

Yule jamaa aliyetaka kumuoa Kareena Kapor hadi suti yake itaharibiwa atachelewa anaibiwa mke siku ya harusi
 
Wallet is proportional to hiv infection and inversely proportional to moral prayers.
 
Yule jamaa aliyetaka kumuoa Kareena Kapor hadi suti yake itaharibiwa atachelewa anaibiwa mke siku ya harusi

Hahahaaa daah sijui nimemsahau vipi yule f.ala......ila siku ya harusi nilimuonea huruma balaa
 
Which type of language inayomtofautisha uneducted and educted man, kama ni kiswaenglish big no!!

We dogo akili yako imeganda kabisa asee.. Pamoja na kurekebishwa na kukosolewa mara kwa mara bado unaandika utumbo tu.. Kwani kujikakamua kuandika kiingereza ndo utaonekana umefika sekondari??????? Acha ujinga bana.. Tena ningekujua huku Shinyanga upo sehemu gani lazima ningekutafuta..
 
Dully Sykes (misifa) inakuponza

Usifanye creaming kwenye Ku approach (Una vitabu 5)

Acha nature ichukue mkondo Wake
La sivyo utasubiri sana...
 
shinyanga imeingiliwa afu nilikuwa na safar pande hizo nimeahirisha ghafla
 

Unataka kujua naishi shinyanga gan? unitafute, hehehe, unifanyaje? hilo lisukupe shaka. nitakuambia mda siyo mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…