Hapa ni kwa wanawake tu

Kama ni ivo ujijue huna tabia nzuri, wanawake tunapenda mtu mwenye tabia nzuri...
-Tabia za majungu hatupendi
-Kuulizwa maswali ya kijinga hatupendi
-Majigambo yasiyo na mbele wala nyuma hatupendi

Huyu msukuma hapo kwenye majigambo ndo panamponza...
 

Which type of language inayomtofautisha uneducted and educted man, kama ni kiswaenglish big no!!
 

mnnnnn umethema? ebu weka picha afu nitakwambia kitu.
 

Hebu cheki hilo neno vizuri kama ni kiswahili fasaha
 

Hapo ndo unapokosea
 
Kujiamini, kujikubali na kulidhika, ndiyo vitu ambavyo humufanya mtu aishi maisha ya aman.

Basi ndo upunguze mashauzi Ngosha...unaenda kutongoza kama unapiga kampeni..ooh mimi nilisoma shule, nlienda ulaya, nimepanda ndege, nina ngombe (sio ng'ombe) mia mbili, mara atm card imegoma....khaaaa hapo kinachofuata unapandishwa unashushwa halafu unawekwa kwenye dustbin...

Pia jifunze kuvaa vizuri...manake na nyie mmechelewa kwenye mavazi...hamchelewu kuvaa kijani kuanzia soksi hadi tai...
 
Wewe nyambafu kabisa....

Nilikuwa sijakuona,,, wewe zezeta!!!! kulichokusababisha ukafungua huu uzi ni nani? wakati kichwa cha habr kinajieleza kwa 100%, kama siyo kutafuta nikufanyie hesabu. ni nin unatafuta???
 
Jamani naombeni msaada wenu,,!


nasema hivyo mimi kila siku yananitokeanga, eti kivulana kifupi kama bilikimo lakn kanamiliki msichana mzuri...
naombeni msaada wenu wanawake.!!

Neno ulilotumia kwenye red lina ukakasi kidogo. Sina hakika kama ni kweli kuna mmoja anammiliki mwenzake...
Ila kama ulivyosema, mi ni mpita njia tu!
 

Itakuchukuwa muda kuelewa nini maana ya vitu vya maana, jinsi ya kuwakilisha maada unayotaka kuiwakilisha kwa maneno ambayo hayatamsababisha msilizaji kujisikia kuwa kasemwa vibaya (kawa offended).

Na sio lazima uchanganye kiingereza kuonekana msomi kaka.

Madem wakali utaendelea kuwaita shemeji mpaka utakapojitambua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…