Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Ndgu yangu acha jokes bhana huku kwetu shinyanga hakuna cha madazi katika familia za wafungaji.
nikusubiri ungali wa asubuhi wa mtu anayeenda kuchuga ng'ombe
kwa lugha ya kitalaam tunauita
"bungali wa ndimi'"
Kikubwa watu wanaangalia pochi bana sura tutavumiliana tu mana hata mbuzi anayo uje na usharabaro wako huna hela mhhjjh
Ms chagga please aaaaaahhhhhaaaaaaaaaaaaaa,, sio wote bhana , Aaaaaaaahaaa.
Ahaha kama yule jamaa wa movie ya 3 ------. . Tehhhh price tag
hivi Daud kipara yupo wapi ??
Basi wewe haupo
Shy land yamewezekana ni ndgu yangu mkuu,, subiri ni pm yawezekana tukajuana kwa namna moja au nyingine,,! mwananyamala mkuu nishahama long time sana!! kwa sasa niko hapa magomeni tunakula bata za dar karibu sana
magomeni ipi mimi mwenyewe nipo magomeni
Tunaangalia walet tu
Mwandiko wako unaonesha wewe ni mtu wa majivuno na kujiona sana!
Eti mbilikimo ana mwanamke mzuri,mie mrefu nina pesa and blah blah!!!
Kama hizi nyodo ndio maisha yako acha kabisa,binafsi mwanaume anayejiona lulu ajue siku za mahusiano yetu zinahesabika!!!
Magomeni mapipa, kama unatoka kariakoo ni mkono wa kuume, kuna gorofa rangi ya kijani juu kuna minala, hapo ndiyo barabara kuu, yakwenda nyumbani.
Ennie sina majifuno, kaasi cha kusema kwamba kwenye jamii nimekuwa kelo, lakn any away subiri nijichukuze kwanza labda yaweza kuwa kweli.
Ennie sina majifuno, kaasi cha kusema kwamba kwenye jamii nimekuwa kelo, lakn any away subiri nijichukuze kwanza labda yaweza kuwa kweli.
we dogo usitudhalilishe wanaShinyanga.. Sijui huwa unaandika nini asee.. Kila mara nasoma maandiko yako, nnakasirika unaposema unatoka Shinyanga.. Hata kama ulisema umeishia la saba, soma kwanza unachoandika ndio upost.. Inamaana hata uwezo wa kufikiri huna? Kiingereza hujui na kiswahili pia?? Basi andika kisukuma.. Nyaaaambaaaffffff!!!!