Hapa ni kazi tu!

Hapa ni kazi tu!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
12187831_993294240693838_2494895479116215631_n.jpg

Halafu ukifika mjini unaleta ubitozi na usista duu!!! Unajifanya huwezi kupanda basi lilojaa kwa maana hutaki kusimama kwenye basi. Lkn huko kijijini kwenu huchagui, utachagua vp wakati kipick up kama hicho kikipita leo saa 8 mpaka kesho saa 8. Tena kila kiumbe anayetaka kusafiri kwa wakati huo mnajichanganya. Ubitozi pembeni

Attachments

  • HAPA N? KAZ? TU.jpg
    HAPA N? KAZ? TU.jpg
    20.9 KB · Views: 159
Mchana kweupe pale kariakoo mtaa wa sikukuu kibaka alimpora binti simu na alipopiga kelele kuomba msaada alijibiwa na wapita njia "..hapa kazi tu.."
 
12187831_993294240693838_2494895479116215631_n.jpg

Halafu ukifika mjini unaleta ubitozi na usista duu!!! Unajifanya huwezi kupanda basi lilojaa kwa maana hutaki kusimama kwenye basi. Lkn huko kijijini kwenu huchagui, utachagua vp wakati kipick up kama hicho kikipita leo saa 8 mpaka kesho saa 8. Tena kila kiumbe anayetaka kusafiri kwa wakati huo mnajichanganya. Ubitozi pembeni

Mmmmm! Hapa kazi tu!
 
Mleta mada hueleweki haya ni machungu ya kukosa mahaba au :thumbdown:😡
 
Mfano ng'ombe akijisaidia humo....

Mfano tu
 
12187831_993294240693838_2494895479116215631_n.jpg

msoga, chalinze hiyo

Halafu ukifika mjini unaleta ubitozi na usista duu!!! Unajifanya huwezi kupanda basi lilojaa kwa maana hutaki kusimama kwenye basi. Lkn huko kijijini kwenu huchagui, utachagua vp wakati kipick up kama hicho kikipita leo saa 8 mpaka kesho saa 8. Tena kila kiumbe anayetaka kusafiri kwa wakati huo mnajichanganya. Ubitozi pembeni

.
msoga chalinze hiyo
 
12187831_993294240693838_2494895479116215631_n.jpg

Halafu ukifika mjini unaleta ubitozi na usista duu!!! Unajifanya huwezi kupanda basi lilojaa kwa maana hutaki kusimama kwenye basi. Lkn huko kijijini kwenu huchagui
,

Tena wa hivyo wapo wengi sana
 
wewe jamaa inawezekana ukawa mbabu kabisa lakini akili za kitoto, ona hii uliyopost.
 
Back
Top Bottom