Hapa ni Dar. Lakini wapi?

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
 

Attachments

  • dar.jpg
    48.3 KB · Views: 219
Wote hapo mmepatia. Lakini sehemu gani ya jiji? (jina la sehemu ya mapumzikio pengine?)
 
Ni kigamboni pembezoni mwa bahari.....
Kuna beach moja hv kwa jina sipakumbuki
 
Hapana, sio Kigamboni.
 
Ukiwa hapo, unapunga upepo mzuri tu. Picha nimepiga nikikaa hapo na vinywaji vyangu baridi!
 
Na kuna mishikaki ya nguvu hapo.
 
Nilinunua mmoja kwa makusudi. Ukitaka hata ishirini utapata, nilitaka kama appetizer nikiwazubiri wenzangu hapo.
 
That was not hard, was it?
 
Kwa mbali inaonekana Wazo Hill. Kwahizo mpiga picha atakuwa maeneo ya Ununio - Kunduchi Beach.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…