Hapa ni Dar. Lakini wapi?

Hapa ni Dar. Lakini wapi?

Hapo sipale naniu pale! palee palipo ungua shoka mpini ukabaki
 
Ukiwa kwenye Boat unatoka Zanzibar mida ya saa Kumi na mbil...hilo eneo la nchi kavu maeneo ya Wazzo Hill ndio unaliona. na kwa mbali ni kiwanda cha Cement.
 
Mkuu Chipukizi alishatoa jibu: Slipway.
 
Ukiwa kwenye Boat unatoka Zanzibar mida ya saa Kumi na mbil...hilo eneo la nchi kavu maeneo ya Wazzo Hill ndio unaliona. na kwa mbali ni kiwanda cha Cement.

Uko sahihi Mkuu, kile ni kiwanja cha simenti lakini hapo Nipo Slipway, Masaki.
 
Mkuu hata mm nilivopaona tu nilijua ni slipway!na wanasema slipway ndo kuna sunset nzuri zaidi kuliko sehemu yoyote hapa TZ

skubaliani na wewe hata kidogo....tembea tembea basi na maeneo mengine ndo ukonkludi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom