Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Feb 21, 2013 #2 Maliza pumba point zako ukae, hakuna mtu anakusikiliza hapa. Unampigia mbuzi :violin:.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,042 Reaction score 22,592 Feb 22, 2013 #3 Atakuwa MHESHIMIWA SUGU huyo
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Feb 22, 2013 #4 Huyo atakuwa yule mheshimiwa kutoka Kigoma anataka kutoa Single nyingine.
S sasambu Member Joined Nov 7, 2012 Posts 78 Reaction score 23 Feb 22, 2013 #5 jamaaa anaongea mistari kwa hiyo mwenzake anamwekea beats
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,007 Feb 22, 2013 #6 ndallo said: Click to expand... jamaa huyo anayeonekana kupiga gitaa, ni kiziwi, hiyo ni mashine ya kumsaidia kufuatilia mjadala
ndallo said: Click to expand... jamaa huyo anayeonekana kupiga gitaa, ni kiziwi, hiyo ni mashine ya kumsaidia kufuatilia mjadala
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Feb 22, 2013 #7 sio job kweli!
P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 450 Feb 22, 2013 #8 Ndallo said: Click to expand... ..............Maneno ya anayeongea yanamwingia sana jamaa na ameamua kumtungia wimbo
Ndallo said: Click to expand... ..............Maneno ya anayeongea yanamwingia sana jamaa na ameamua kumtungia wimbo