Hapa ndo kichwa changu kinavurugika

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Jamani kila mara nawaza na ninapenda kuwa na familia yangu(kuoa),kuwa na nampenzi mwaminifu,but mimi nikifiria maisha baada ya kuoana naanza kuwaza sana,kwa mfano najiuliza.
Je akija kuniacha kwenye ndoa itakwaje?
tukiwa na ugomvi wa mara kwa mara furaha ya ndoa itakuwa nini?
nawaombeni ushauri maana hizi fikra zangu zinanichanganya kweli.
 
Tuko wengi tunaowaza yale ambayo yanaweza kujitokeza kwenye ndoa kama ambavyo yametokea kwa wengine.....Nafikiri kwenye hili,mtegemee Mungu zaidi ya akili yako,hakuna ndoa perfect isiyo na mapungufu,ila zipo ndoa zenye mapungufu yanayovumilika na yasiyovumilika.

Kuwa makini hapo pa kumpata mwenzi wa maisha,kuwa mtu wa kujifunza na mvumilivu zaidi mtegemee Mungu utaishi kwa furaha na utaweza kukabiliana na changanoto za ndoa na maisha.
 
Jamani kila mara nawaza na ninapenda kuwa na familia yangu(kuoa),kuwa na nampenzi mwaminifu,but mimi nikifiria maisha baada ya kuoana naanza kuwaza sana,kwa mfano najiuliza.
Je akija kuniacha kwenye ndoa itakwaje?
tukiwa na ugomvi wa mara kwa mara furaha ya ndoa itakuwa nini?
nawaombeni ushauri maana hizi fikra zangu zinanichanganya kweli.


Acha uoga weweee.....wote wangeogopa namna hiyo ndoa zisingekuwepo.
Always success beigins from the state of mind, if you think you will loose and still going to match, definetely you will lose, but if you think you will win, thats obviously you will win bcoz when difficulties rise, you will find solutions torwards the same aim of winning and you will WIN brother!

Acha woga chapa mwendo, ni pm number yako niwe wa kwanza kutoa mchango.
.
 
Nilichojifunza kwenye haya mambo ya ndoa ni
kuna pande mbili za shilingi na kuna ubaya na uzuri wake
sana sana watu tuna concentrate kwenye mambo mabaya
hatufikirii mazuri hata kidogo. na tunajipa matatizo ya moyo
kwa kitu ambacho bado hatujaigia.

Don't get me wrong
ni sawa kufikiria mambo hayo sababu yapo na nimaisha
wapo waliopitia, watakaopitia na wanaopitia sasa..
na kuna wonao furahia na hawataki kuwa mahali popote
na mtu yeyote bali huyo ubavu wake wa pili
na kuna ambao wanataka kuwapa wenza wao sumu

usema ukweli sisi hapa tutakufariji tu
lakini ukweli wa mambo utauona siku ukifika huko
hii ni ile unatetemeka kabla hujaingia mtihani wa moku
kwa sababu unajiwekea fikira finyu kichwani "Ntafeli"
basi kweli unapiga chini.. kwa sasa hivi my dear
Live your Life. Hiyo siku ikifika ndo utaelewa nini
cha kufanya ..( Niko kwenye jet moja na mawazo na wewe
lakini hivi ndivyo ninavyofikiria sasa)
 
life in marriage is not a problem to be solved but reality to be experienced ...
 
Back
Top Bottom