Hapa ndipo ninaposhtushwa na uwezo mkubwa walio nao wanawake wakiamua jambo

Watanzania tunajadili sana vitu na watu, hatujadili issues(masuala ya tija). Mimi nikajua kuwa wanawake wamefanya mambo fulani ya uchumi wa viwanda kumbe upuuzi tu tunaletewa hapa. Aagh!

Vitu
 
Kwa nini usiandike kuhusu hilo? Huu ulalamishi ni kama wa mama mjamzito mwenye gubu na kisirani.
Watanzania tunajadili sana vitu na watu, hatujadili issues(masuala ya tija). Mimi nikajua kuwa wanawake wamefanya mambo fulani ya uchumi wa viwanda kumbe upuuzi tu tunaletewa hapa. Aagh!

Vitu
 
Mi siweki password wala nini ila hukuti unachokitafuta

mwanamke hawezi kuwa smart kunizidi mimi
hii ndo mbinu yangu aisee
wanawake wote hua wananiona muaminifu balaa

mwanamke haez kumzidi akili mwanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom