Hapa nataka kupigwa au kuibiwa

Hapa nataka kupigwa au kuibiwa

ndio mwishoni alianza kusema kuna box la hela kuna mtu alikufa akabaki nalo yeye.
Alipoanza hiyo stori nikamstopisha hapo hapo nikamwambia sizitaki hela zako kawape huko kwenu ulikotoka au majirani zako baada ya hapo hakusumbua tena
Huyu hakuokota box la the waasi lenye dhahabu na hela huko baghdad?? Hakuanza mpango wa kukutumia wewe?
 
Nigeria noma nasikia kuna vijana wanaajiliwa kabisa kwa ajili ya kutapeli watu mtandoani
Sasa kalaga bao..!!
wapo zao pale km wako darasani vile wengi mambo yao hayohayo kutuma email kwa wajingawajinga
 
Back
Top Bottom