Hapa napigwa au?

Hapa napigwa au?

Mkuu unataka kutapeliwa kwasababu hakuna KATIBA MPYA,,haya yote kwasababu hakuna katiba mpya,,,,,tupate katiba mpya tutaishi kama tupo mbinguni[emoji13][emoji13]
 
Tahadhari kabla ya hatari. Kuna hatari inakunyemelea Ila kumbuka hakuna pesa ya bure. Huo ni mtego na chambo ndo hicho unaambiwa.
 
GT, kuna massage nimetumiwa WhatsApp kwamba unaweza fanya kazi online na kupata elf 50 kwa siku jamaa akanipa link nikaicopy na kuingia humo ni video za tiktok.

Sasa kilichonichanganya wanataka kwanza niwaingizie 5000 halafu naweza pata 10,000/= kwa 5 - 10min angalia screen short

[emoji1484]View attachment 2239307
Ukisikia kupigwa kweupe ni huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu sikuzote ukiona hela ya nje njea ua hela nyepesi tuuu shtuka na jua unataka ibiwa
 
Halafu mnashanikia kukaa maporini, utapeli Kama huu hakuna mtoto wa mjini hata wa miaka 10 utamdanganya.
 
GT, kuna massage nimetumiwa WhatsApp kwamba unaweza fanya kazi online na kupata elf 50 kwa siku jamaa akanipa link nikaicopy na kuingia humo ni video za tiktok.

Sasa kilichonichanganya wanataka kwanza niwaingizie 5000 halafu naweza pata 10,000/= kwa 5 - 10min angalia screen short

[emoji1484]View attachment 2239307

Kikubwa nilichojifunza hapa ni kwamba huna shule... kingreza chako kinathibitisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom