Hapa napendwa kweli?

Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,

Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila alichotaka nilimpa.

Nikapiga chini nikapata mwingine tena baada ya kuachana na yule wa kwanza but mambo ni yale yale hakuna utofauti mtashinda naye but ukitaka kufanya chochote hataki na kingine naona kama ana mtu mwingine pembeni nipo mbioni kumuacha

Naomba ushauri kwenu maana nahisi labda kuna vitu nakosea nakua rush may be
Wachumi tuna jambo letu moja huliita DEMAND and SUPPLY. Mahitaji yakizidi thamani ya kitu inapanda na kinyume chake pia ni sahihi.

Hii ni kanuni, ipo kila mahali.

Tatizo lako ndugu unapatikana na kujitoa kwa urahisi mno haujaambiwa ndio tayari umepeleka mizawadi kila saa sms na simu.

Tengeneza upungufu wa magumashi (artificial shortage) hata kama umependa mno. Acha akutafute pia na mwambie nitakupigia baadae kisha kausha tena siku ipite.

Tatizo ni wewe unajigeuza mbuzi wa shughuli.
 
Hauvutii sexually....kuna watu huwa hawana ule mvuto wa kufanya nao mapenzi.... yani unatamani uwe nae tu abaki kuwa mpenzi mtazamaji. Kuna maeneo unakwama.

may be staili yako ya kuomba inaboa
Huo ndio ukweli haiwekan wanawake 2 lakn anashindwa kuwavua chupi na wanaingia had gheto

Nadhan mleta mada n wale wa kanda maalum wa MAMA BHOKE INAMA NIKURENGE
 
Kwahiyo yule wa kwanza kaishia kukuchuna tu, ila mzigo hujala,

Aisee pole sana mzee.

Kwa staili hii si watakuchuna mpaka ngozi jombaa,

Una kwama wapi wewe?
 
Heee ..." anadai ananipenda maana kila anachodai NAMPA" sasa hapo ndonn we si ndio unampenda hadi kumpa hivo vitu.

Sembuse uko na mwanamke ambaye hana cha kukupa zaidi ya mbususu na anakunyima.

Au wanakuona unamiba mwenzetu wanaogopaa usjie wafanya net kwa matundu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kosa la kwanza: Kumpa mwanamke kila anachotaka wakati HUJAMLA

Kosa la pili: Kuendelea kuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambae hataki umsogelee wala umguse

Itaendelea...
Kama hajakuelewa bas Ni debe huyu jamaa Ni debe tupu
 
Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,

Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila alichotaka nilimpa.

Nikapiga chini nikapata mwingine tena baada ya kuachana na yule wa kwanza but mambo ni yale yale hakuna utofauti mtashinda naye but ukitaka kufanya chochote hataki na kingine naona kama ana mtu mwingine pembeni nipo mbioni kumuacha

Naomba ushauri kwenu maana nahisi labda kuna vitu nakosea nakua rush may be
Hao wanawake ni kabila Gani na umri wao miaka mingapi?
 
Umepata wanawake wazuri umewaacha sababu ya uzinzi wako...
20220202_180210.jpg
 
Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,

Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila alichotaka nilimpa.

Nikapiga chini nikapata mwingine tena baada ya kuachana na yule wa kwanza but mambo ni yale yale hakuna utofauti mtashinda naye but ukitaka kufanya chochote hataki na kingine naona kama ana mtu mwingine pembeni nipo mbioni kumuacha

Naomba ushauri kwenu maana nahisi labda kuna vitu nakosea nakua rush may be
Weka picha yako kwanza hapa tukuone
 
Habari za uzima wana familia ya JF wenzangu,

Naomba ushauri juu ya hili sidhani kama napendwa kweli hapa bali nachunwa tu. Nimepita katika mahusiano mawili ya wanawake wa aina moja kwa kufuatana yaani mwanamke wa kwanza kipindi nipo naye katika mahusiano alikua hataki kabisa nimushike wala kumsogelea, kufanya mapenzi ndio usiseme hataki kusikia ila alikua anadai ananipenda maana kila
Pole sana mkuu
 
Relax ,usifanye mapenzi ishu ya kutoa sana jasho ,tongoza tongoza na usiwaweke sana kwenye mawazo utakutana tu na type lako unalohitaji.

Ukimpata utaona wanajileta wengine sijui ni shetani gani wakati ukiwa single wanakuruka kama mkojo.
 
Back
Top Bottom