Hapa nafanyaje........?

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,884
Simu inaniambia......Unfortunately, the process com.android.phone has stopped........
Hii itakuwa ni nini........?
 
Mi niliipata baada ya ku upgrade to latest jelly bean
.
Ila njia rahisi ni ku fanya reset ktk custom recovery mode.....
.
Ila kuna jamaa alitumia AROMA japokuwa ina njia ndefu itakusumbua... Na tatizo linaweza likaendelea pia
.
 
Mi niliipata baada ya ku upgrade to latest jelly bean
.
Ila njia rahisi ni ku fanya reset ktk custom recovery mode.....
.
Ila kuna jamaa alitumia AROMA japokuwa ina njia ndefu itakusumbua... Na tatizo linaweza likaendelea pia
.

Mkuu hapa sijapata chochote.........nielekeze kwa lugha isiyokuwa ya kitaalam plz.........
 
hio ni app tu imecrash.

mfano unacheza game linaitwa mkwawa basi process yake itaitwa com.android.mkwawa

kwa hio hapo com.android.phone inamaana ni ile dialer yako au kile ki app kinachoitwa phone ndo kina matatizo.

kwa sababu hio ni background process inawezekana inafanya kitu chini kwa chini na kufeli ndio maana inacrash.



ili tupate solution sasa itabidi useme simu yako, unatumia android gani, app gani ulieka karibuni mpaka hilo tatizo kuanza, na pia kama uli update simu useme.
 
Mzee mkwawa naomba unisaidie hapa nimedownload app ya whatsapp nika install vzrsasa kwenye kujiunga inasema phone no verification failed tatizo linaweza kuwa nn?
 
Mzee mkwawa naomba unisaidie hapa nimedownload app ya whatsapp nika install vzrsasa kwenye kujiunga inasema phone no verification failed tatizo linaweza kuwa nn?

kuna njia mbili either uverify kwa sms au kwa wao kukupigia simu. sms inakua ya kwanza ikifeli basi kunatokea option ya wao kukupigia simu je umejaribu hio ya kupiga simu?
 
Yaah nimegika mpaka hapo ila inasema unable to connect try again after one hour,duuh
 


I also had a galaxy s3 mini clone ilikua kila ukidial *102# or any number zenye *s and #s inaleta hii message didn't know the hell was wrong with it!!!
 
Good Guy
.
The hell was occured to me also while am receiving calls...
.
But the hell comming from the
.
phone call settings -Reject With Message (aka
Ignore With Message).
.
Also the cached data are the reason which should be solved by Settings >
Tap Applications >
Tap Manage Applications
baada ya hapo Navigate to and tap your
equivalent of the phone app (may
be called phone or dialer)
> Tap Clear Cache and Clear Data as
available
-then Turn Your Phone off, there after
back it on.
.
 
Last edited by a moderator:
Kati ya bugs za jelly bean mojawapo ni hii, watu wengi kwenye mtandao wamekuwa wakilalamikia hili tatizo
 

Upo sahihi kabisa,

1.Settings >> Application>>All>>phone>>clear all data,

2.Inawesa sababisha pia,ni huduma ya SIM yako,(SIM Toolkit),fanya hivyo hivyo,
za Airtel nadhani itaonekana kama Airtel,za Tigo sina hakika sana

Utoe majibu tafadhali
 

Asante mkuu......natumia S4 na ni jelly bean 4.2.2.....zaidi ya hapo sijui tena.....
 
Asante mkuu......natumia S4 na ni jelly bean 4.2.2.....zaidi ya hapo sijui tena.....

kama ni 4.2.2 ina maana huja update simu hivyo hili tatizo linasababishwa na app ulio install hivi karibuni ambayo ina share kitu na dialer yako.

jaribu kufanya hivi kumbuka apo ambazo ulipozieka tu hilo tatizo likaanza jaribu kuzitoa halafu tuone kama tatizo litaendelea au litaondoka
 

Hakuna kilichofanyika........nimeondoa vitu vingi lakini ngoma ipo pale pale......kuna mtu kaniambia ni virus hiyo........hapo nafanyaje.......?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…