Du! Huku kwetu hakuna mtu angempeleka mtoto!
Kikwetu Nyoko ni mama, sasa sijui kwa wengine!kwani nini maana yake???:A S-confused1:
kwani nini maana yake???:A S-confused1:
Mi ntaona kanitukanaHapo imagine unamuuliza mtoto..."enhe unasoma shule gani?"
"NYOKO!"
Mi ntaona kanitukana