Kweli mkuu... umenena vyema...Ukiona fremu ya duka imebaki na panadol tu na viwembe na unga wa kupima kwingine shelfu ziko tupu basi elewa walianza kama wewe.
Ukimchunguza aliyefirisika utakuta hanywi pombe, havuti sigara wala sehemu za starehe haonekani ila duka linapukutika siku hadi siku.
Usije ukasema hatukukuonya.
Mkuu, siri ni kujithamini na kutokulazimisha mambo. Usilazimishe urafiki, mapenzi wala kukubalika. Toa nafasi, heshimu mipaka na jifunze kusema hapana. Usijishushe ili upendwe; kuwa wewe, anayekuthamini atakupa nafasi bila kuomba omba. 💯Asaaaaante mkuu... noted!!! Halafu kuna ile ya kujiombeleombelesha na ikwepaje?
Asante mkuu noted!!!Mkuu, siri ni kujithamini na kutokulazimisha mambo. Usilazimishe urafiki, mapenzi wala kukubalika. Toa nafasi, heshimu mipaka na jifunze kusema hapana. Usijishushe ili upendwe; kuwa wewe, anayekuthamini atakupa nafasi bila kuomba omba.
Unajichanganya mwenyew 😅Tuishie hapa... wewe ndio unanichanganya...
Shimo la mbele halina shida mkuu labda shimo la nyuma ndo la kuzimu.Si kila shimo ni la kuingia, mashimo mengine ni ya kuzimu.
Duh.... za kuambiwa changanya na zako nitalink then nitachukua maamuzi baada ya kupitia maoni asante mkuuSasa kama unajua huwez kumla mbona uje ujaze sever jf?
Au unataka yakikupata uje utulaumu sie tulikuruhusu?
Haya wew kula tu hyo manz kikubwa mpime/kinga.
Kama ni mteja ukimla/usipo mla kote ni madhara tu.
UKIMLA weka mipaka tu mapenz na biashara.
USIPOMLA atakuona boya na atakuchukia na atakuhama