FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Hili jukwaa halikufahi huku tunajenga familia nenda jukwaa la lugha ukaoneshe umahiri wako kule, tuondolee kiwingu na stress zako.
Wewe ulipoanza kumshambulia bahati mbaya ulikuwa hujaliona hilo? au ndio "mkuki kwa nguruwe..."?
Last edited by a moderator: