Hapa kuna mapenzi kweli

Mkuu kuwa makini na kiwango chako cha privacy, kuna mambo simple tu unaweza yafanyia maamuzi si lazima uyaanzishie mada.

Hivi wanaume sikuhizi tumeshindwa kabisa kufanya maamuzi mpaka tuite mkutano kama huu? umeshindwa kuamua tu kuwa huyu mtu hanifai au ananifaa mpaka uscreen short sms zenu watu wajadili?

Kipindi hiki wanaume Tumeshindwa kabisa kuwa na maamuzi private.

Nina mshkaj mmoja aishare picha ya mtu wake akiwa mtupu ili tu washkaji watoe comment. Sijui ikawaje kawaje mda ukapita leo ni mzazi mwenzie na ni mchumba wake halali na Mahari imelipwa. Ss tatizo ni ukimwangalia shemeji unakumbuka Ile picha. Hii yote sababu ya ktokua na privacy.
 
kwa hio umeona picha
 
Kweli kbs, binti hajui kuandika
mbona huelewi bro..
achana na hao wanaoandika x badala ya s au k badala ya ok..
demu wako atakua kanyoa denge, kachora way kichwani, mvaa vibukta au pens
pole sana...
 
mbona huelewi bro..
achana na hao wanaoandika x badala ya s au k badala ya ok..
demu wako atakua kanyoa denge, kachora way kichwani, mvaa vibukta au pens
pole sana...
🤣🤣🤣🤣🤣 umenikumbusha kuna malaya anatabia ya kujisemesha hana njaa njaa ya pesa ila sasa deile ni mizinga tu.

Huwa namcheki tu af nasema hiii...vibwagizo vyake ni wanaume wa mji huu bahilii! Hapo ushamkaza inabidi umtoe hela maana vitaanza vijembe vya yani nasaidiwa kukazwa tu sehemu za siri. Kimbembe siku ukiwa huna sasa, 🤣🤣🤣!

Kuna X wake waliachana kwa ajili ya njaa njaa, ananiambia jamaa alimuudhi sana kumuita ana njaa ndogo ndogo wakati yeye hana njaa hizo ila at the same time anapenda kweli kuomba hela.🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣 uandishi wa babu mpera
 
Huyo demu ananyota ya Jei-wii basi, ye deile mabomu tu 🤣🤣🤣 akikuona shida zinaanza. Mie pia napenda mwanamke nimpe hela mwenyewe tu.
 
Si anatumia nguvu kutaka apewe hela af uandishi mmbovu
Wote wamekutana pipa na mfuniko,Mpenzi kumuomba pesa kwenye simu ni kosa kubwa kwanza kunauwezekano mkubwa usipate kuna maeneo ukiomba pesa jamaa hawezi kukataa.
 
Wote wamekutana pipa na mfuniko,Mpenzi kumuomba pesa kwenye simu ni kosa kubwa kwanza kunauwezekano mkubwa usipate kuna maeneo ukiomba pesa jamaa hawezi kukataa.
We unajielewaga sana yani hadi raha, mtu anakurupuka tu kuomba hela...Kuna maeneo husika na mda maalumu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…