Muendesha katapila
Member
- Jun 16, 2026
- 27
- 59
Wakuu habari za majukumu.
naombeni mawazo au Nina laana baada ya kuachwa na Mwanamke wa roho yangu Khadija,nikapitia mengi sana.mpaka nikawa teja.kutaka kujiua ili nimsahau sasa miezi miwili nyuma nikapata demu mpya nilipewa namba yake na jamaa yangu Mmoja hapa kazini kwa mchina.ili walau nimsahau Khadija tukaanza mahusiano,yeye alisema Yuko Moshi sijawai kukutana naye zaidi ya kumpa hela akiwa na shida.
sasa aliniomba hela ya kununua kiwanja kama ml 4 hivi nikamtumia na akaanza ujenzi akaomba hela ya ujenzi ml 20 hivi wakati huo nilikuwa Sina nilikuwa kama Nina ml 8 ikabidi ml 12 nikamkope mchina akanipa.ili akimaliza Ile nyumba tuje tufunge ndoa.
sasa kinachonivuruga saivi apatikani kwenye simu karibu mwezi na yule jamaa aliyenipa namba alishafukuzwa kazini kwa wizi wa mafuta.naombeni mnisaidie jamani nifanyajee mimi