Hapa kuna mapenzi kweli

Hapa kuna mapenzi kweli

Naogopa hata siku mtu akipatwa na tatizo kwenye ndoa akarusha uzi aombe ushauri watakao mshauri.
 
For sure nimesoma sijaelewa haya maneno, hv, mm, kbxa, nop, jns. Ningekuwa mimi ningeshafuta namba yake kitambo maana sipendagi huo uandishi.
Mkuu itakubidi ujifunze kuelewa tu hata Kama haupendi ipo siku unaweza tumiwa ujumbe wa siri na ikala kwako kwa kushindwa kuelewa.. itabidi uandike unavyotaka wewe na wao waache hivyohivyo Kama hawashauliki mpaka siku yampate ya kumpata atajua tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom