Hapa kuna mapenzi kweli

Hapa kuna mapenzi kweli

🤣🤣🤣🤣🤣 umenikumbusha kuna malaya anatabia ya kujisemesha hana njaa njaa ya pesa ila sasa deile ni mizinga tu.

Huwa namcheki tu af nasema hiii...vibwagizo vyake ni wanaume wa mji huu bahilii! Hapo ushamkaza inabidi umtoe hela maana vitaanza vijembe vya yani nasaidiwa kukazwa tu sehemu za siri. Kimbembe siku ukiwa huna sasa, 🤣🤣🤣!

Kuna X wake waliachana kwa ajili ya njaa njaa, ananiambia jamaa alimuudhi sana kumuita ana njaa ndogo ndogo wakati yeye hana njaa hizo ila at the same time anapenda kweli kuomba hela.🤣🤣🤣
Badala ya pole anaandika poye ogopa hao.. na sio kwamba hajui kuandika.
 
ila hii ni kweli, ila usiseme wamekutana
Wote wamekutana pipa na mfuniko,Mpenzi kumuomba pesa kwenye simu ni kosa kubwa kwanza kunauwezekano mkubwa usipate kuna maeneo ukiomba pesa jamaa hawezi kukataa.
 
wapo wengi wa hivo
umenikumbusha kuna malaya anatabia ya kujisemesha hana njaa njaa ya pesa ila sasa deile ni mizinga tu.

Huwa namcheki tu af nasema hiii...vibwagizo vyake ni wanaume wa mji huu bahilii! Hapo ushamkaza inabidi umtoe hela maana vitaanza vijembe vya yani nasaidiwa kukazwa tu sehemu za siri. Kimbembe siku ukiwa huna sasa, !

Kuna X wake waliachana kwa ajili ya njaa njaa, ananiambia jamaa alimuudhi sana kumuita ana njaa ndogo ndogo wakati yeye hana njaa hizo ila at the same time anapenda kweli kuomba hela.
 
Leo mm nimegombana na hao watu. Kadai simpi hela wakat ana mishahara yetu inalingana...yaan mm nichukue mshahara wangu nusu nimpe afu wa kwake uwe tu idle..

Nimemjibu mm siwez kuchukua mshahar wangu nkuongezee ww....kwangu hujafata hela bali tumektana ili tusaidiane maisha....tusigeuzane benki tafdhali. Hata huyo uliekua nae huenda alkukmbia kwa mengi. Kamaindi mpka kesho.
 
Leo mm nimegombana na hao watu. Kadai simpi hela wakat ana mishahara yetu inalingana...yaan mm nichukue mshahara wangu nusu nimpe afu wa kwake uwe tu idle..

Nimemjibu mm siwez kuchukua mshahar wangu nkuongezee ww....kwangu hujafata hela bali tumektana ili tusaidiane maisha....tusigeuzane benki tafdhali. Hata huyo uliekua nae huenda alkukmbia kwa mengi. Kamaindi mpka kesho.
sjui waga ikoje kuna sehem flani tuliwai pewa 1M+, tulkua wengi kwenye hilo group alikuwemo mdada flan hivi, nkamwambia aje nyumbani cha ajabu akanidai nauli na wakati ela najua anazo hadi saivi, waga analaumu,
 
hivi kama mwanaume huna pesa ,kwa nini uhangaike na warembo wa mjini?
 
Amna kitu hapo, nna uzoefu mzuri tu kwa madem ambao hawapendi au endekeza pesa, huwa hawajielezi ivyo ata siku moja, wenyewe wanasubiri ujiongeze, na ata akikuomba mara ya kwanza alafu usimpe basi hakuombi tena.
 
anaenda certificate katoka 4m 4, mwaka jana, ila ana vizinga kila siku wala sio hata kwa wiki, ukimtext ni kosa, na bando mda huo waga linaisha
Achana na huyo mtoto, hajielewi, mpumbavu kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom