Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,997
- 16,185
Mmmh!!
Sorry, Umri wako unachezea age ngap mkuu?
Sorry, Umri wako unachezea age ngap mkuu?
kwanza siku ya kwanza tu nikichat na wewe nikaona unaniandikia
mala badala ya Mara
nicje badala ya Nisije
Mxaada badala ya Msaada
Kabixa badala ya Kabisa
Nxhapata badaya ya Nimeshapata
Nikiona tu uandishi wa namna hiyo, Huwezi kuwa mpenzi wangu.