Hata mleta uzi bado ni mdogo sana bado anategemea apewe ten na broo naye akahonge kademu kake ka xaxa 🤣 🤣 🤣mbona huelewi bro..
achana na hao wanaoandika x badala ya s au k badala ya ok..
demu wako atakua kanyoa denge, kachora way kichwani, mvaa vibukta au pens
pole sana...
Wanaume wengi sku izi ndo empty bucket kabisa sa sjui atawezaje kuchagua anaejielewa wanaokomenti wengi na wenyewe awajielewi aaaghhhrrrMkuu huyo mkeo sorry mpenzi wako, kwa huo uandishi tu ni empty set a.k.a Bogus kichwani.
Ushauri: Piga block delete na namba kabisa tafuta mwanamke anaejielewa.!
Hata mleta uzi bado ni mdogo sana bado anategemea apewe ten na broo naye akahonge kademu kake ka xaxa![]()
![]()
![]()






ukweli mtupuAna penzi la FBOs Mkuu 😀😀😀😀 faith based organizationEti amejitolea!!! Mapenzi ya kujitolea ndio yapoje? Msaada? Huruma ama nini? Mwambie akajitolee kwingine pesa huna mkuu.
Wanendana ndo maana wanaelewana mkuu hao watoto waache kama walivyo mwenzie anamuelewa ndo maana kaleta bandiko lake umu tujue naye keshaanzaFor sure nimesoma sijaelewa haya maneno, hv, mm, kbxa, nop, jns. Ningekuwa mimi ningeshafuta namba yake kitambo maana sipendagi huo uandishi.
Hata mleta uzi bado ni mdogo sana bado anategemea apewe ten na broo naye akahonge kademu kake ka xaxa![]()
![]()
![]()
Utamu si tunasikia woteUkijua kuomba papuchi ujue kuhudumia sio kuja kulia lia hapa.