Hili jambo linaniumiza kwel na nashindwa kupata muafaka na nifanye nn?
Yapata takriban mwaka mmoja ambapo kuna bint niliye mpenda kwel toka moyon na nilimfanyia uchunguz nikaridhika na mwenendo wake.
Niliamua kwenda kumueleza ukwel wangu kuwa nampenda. Bila kumungunya maneno bint alinitolea nje kabisa. Nilipiga magot na kulia mbele yake(ni kuonesha upendo na kufikisha hisia za moyo wangu) lakin bint alikataa kabisa.
Nilimnunulia maua na kad lakin aliishia kuvipokea na kutoa jibu lilelile.
Nilitumia hadi rafik zake lakin alikataa.
Baada ya muda niliamua kukubal matokeo na kukata mawasiliano nae kwel badae nilizoea maisha yakasonga mbele.
Hivi karibun bint karudisha mawasiliano na kaniambia amekubal kuwa mpnz wangu baada ya kutafakar kwa muda.
Kiukwel kwa sasa moyo unagoma kumpokea na hisia za mapenz kwake zilisha kufa.
Ndugu zangu nifanyeje?