johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,599
Naunga mkono hojaKiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
🤣🤣🤣double kick ni nomaHii ndio shida ya kuamkia kiporo cha makande, utakuwa umevimbiwa wewe kapate double kick ukae sawa.
Moja haikai mbili haisomiSiku zinakaribia naona mnazidi kupata wazimu tu mpaka ikifika tarehe 17 wengi tutapeleka milembe.
Unazidi kuzeeka tu teuzi zinazidi kukupitaNaunga mkono hoja
P
Umenuna!Hii ndio shida ya kuamkia kiporo cha makande, utakuwa umevimbiwa wewe kapate double kick ukae sawa.
Kikwazo alikuwa Tundu Lisu tu!Moja haikai mbili haisomi
Ongeza na Tundu lissuKiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
13.Control number. 14.Soko la Njombe.Kiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM
Mwendokasi Kariakoo to Mbagala13. Dar terminal 3
14. Tanzanite bridge
15. JPM bridge
Nk, nk, nk
RIP JPM, shujaa wetu tutakukumbuka daima 💪💪
Kuwatengua wachapa kazi Kalemani, Lukuvi, Kabudi, Chamurimo, etc.Hivi tukiondoa shule zilizojengwa kwa msaada wa fedha za kovidi..awamu ya 6 ina lipi la kujidai?mbele za watanzania.
#MaendeleoHayanaChama
Kufufua MSCL13.Control number. 14.Soko la Njombe.
Hapo no 3 hiyo treni ya Moshi aliifanyaje maana hata treni yenyewe jina lake kwa kiswahili sanifu ni Gari Moshi. Treni ya kwanza nchini ilijengwa na Mjerumani toka Tanga kwenda MoshiKiukweli hayati Magufuli tutamkumbuka milele
1. SGR
2. Bwawa la Nyerere
3. Treni ya Moshi
4. Meli
5. Ndege
6. Barabara
7. Wabunge wa Chadema waliounga juhudi
8. Uwanja wa ndege Chato
9. Uwanja wa ndege Nduli Iringa
10. Soko la Ndugai
11. Stendi ya Magufuli mbezi
12. Nk....nk
RIP JPM