Hapa kazi tu slogan inayopotea haraka

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Na wewe ni shahidi hata kama hutaki kukubali ila moyo wako unakusuta

Jamaa wale waliokuwa wanazunguka na tarumbeta za hapa kazi tu siku hizi tarumbeta zao zimejaa mate kiasi kwamba hawawezi tena kusema ile slogan ya hapa kazi tu maana wanachokiona hawakiamini.

Siku zote walizani wakivaa kofia ile na zile shati za kijani kwao mambo yatakuwa mepesi na wapinzani hasa Lowassa atakipatapata, leo midomo imekula ndimu kiasi wanashindwa kutamka mbele ya
 
Mkuu kweli kabisa..

Hapa Kazi Tu imejifia natural death.

Waumini wa Hapa Kazi Tu hawaamini jinsi jamaa alivyowatenda na jinsi Nchi inavyokwenda hobela hobela..!!

Na bado.

Huwezi kuamini kwani kuna watu ambao walikuwa wapiga panda wa hapa kazi tu sasa hivi wanasema kuna shetani aliyekuwa amewanasa kiasi cha kuamini kwamba mambo yatakuwa mazuri sana sasa wana laani
 
NA MVUA NDO ZIMEKATAA MBONA TUTATAFUTANA MWAKA HUU!! hapa kazi tu!
 
Mkuu kweli kabisa..

Hapa Kazi Tu imejifia natural death.

Waumini wa Hapa Kazi Tu hawaamini jinsi jamaa alivyowatenda na jinsi Nchi inavyokwenda hobela hobela..!!

Na bado.
IMG-20170107-WA0039.jpg

Na wewe ni shahidi hata kama hutaki kukubali ila moyo wako unakusuta

Jamaa wale waliokuwa wanazunguka na tarumbeta za hapa kazi tu siku hizi tarumbeta zao zimejaa mate kiasi kwamba hawawezi tena kusema ile slogan ya hapa kazi tu maana wanachokiona hawakiamini. Siku zote walizani wakivaa kofia ile na zile shati za kijani kwao mambo yatakuwa mepesi na wapinzani hasa Lowassa atakipatapata, leo midomo imekula ndimu kiasi wanashindwa kutamka mbele ya
 
Kuna shida na slogan za wana siasa wakati wa kampeni wakati wa Mkapa alisema slogan yake........ikafa mapema sana miaka 5 yake ya kwanza(uwazi na ukweli)......miaka 5 ya mwisho ikawa chukua chako mapema........na tulia!!! Akaja bwana JK heeee alikuja na Ari mpya nguvu mpya......ilidumu miaka 2 tu ya kwanza.....baada hhapo akajitwalia nchi nzimaaaa ikiwa naive.........yeye akawa bwana na tajiri(slave masters).........ile slogan imekufa mapema zaidiii ya utendaji wake

HUU upuuzi wa.........hapa kazi tu bila vision wala mission ni ugonjwa wa akili file Milembe!!!!

Back
Top Bottom