Hapa JF watu wanatongoza DADA zao sana tu

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Habari wakuu!!
Kuna maswali nimejiuliza kimsingi nimeona ni jambo linawezekana kabisa,ila njia pekee ya kuepuka swala hilo ni kuwa wastaharabu na watu wenye busara tunapochangia jambo hapa JF
Wanachama wa kiume hapa jf wana dada zao wajomba mashemeji n.k.wanaotumia mtandao huu kwa majina na picha bandia kimbembe kinakuja watu wanavyo tongozana hapa na wakati mwingine kutupina maneno makali sana
Nimejiuliza kwa mfumo huu uliopo si unaweza kumtongoza dada yako?au kaka yako?tena mkapeana maneno ya mahaba haswa mkaenda na pm mkazama kikweli kweli,utajisikia je siku ya siku unakuja kubaini ulikuwa unamtongoza ni dada yako?
USHAURI:kwa hali hii ngumu tuliyonayo hapa jamvini ili kuepuka aibu hii tupunguze mitongozo mikali tutongoze kiaina tu,na matusi kashifa tuache kabisa ili kulinda hali ya kuingia kwenye kisiwa cha mapenzi na dada/kaka yako na ndugu wengine wa karibu.
Nawasilisha!
 
Kibo10 unataka kutuambia charty sio dada yako??Au umezidiwa kete na Rich Pol,basi unakuja na sizitaki mbichi hizi!Hahaaaaa,funguka vizuri mkuu,umekuta charty ni dada yako nini??Poleni,kuona tu avatar au id ya mtu,ushatongoza tayari,ndio maana yule nanii ni wa kiume!!
 
Last edited by a moderator:
Tumbo moja kunakuwa hamna connection ya mapenzi ndio maana mm na MankaM tunapendana.

Nani kakudanganya tumbo moja hamna connection?
Hapa mjini namjuwa mzee anakula mtoto wake wa kumzaa sembuse dada tena hapa jf na majina feki
 
Last edited by a moderator:
Nani kakudanganya tumbo moja hamna connection?
Hapa mjini namjuwa mzee anakula mtoto wake wa kumzaa sembuse dada tena hapa jf na majina feki

Mwanaume hazai mkuu

Mtoto anakuwa asilimia zote kwa mama cz mwanaume unaweza singiziwa mtt
 
Kibo10 unataka kutuambia charty sio dada yako??Au umezidiwa kete na Rich Pol,basi unakuja na sizitaki mbichi hizi!Hahaaaaa,funguka vizuri mkuu,umekuta charty ni dada yako nini??Poleni,kuona tu avatar au id ya mtu,ushatongoza tayari,ndio maana yule nanii ni wa kiume!!

Mkuu charty ni mke wangu mimi dada zangu ID zao nazijuwa so huwa nawapisha sana
Mbinde ni kwako unavyopenda kurukia rukia mademu na kuwatongoza fanya utafiti usije kuta yule wa kibantu ni dada yako hahaha na ulivyokuwa unalilia lile penzi sungura1980 unatisha
 
Last edited by a moderator:
Labd familia nzima muwe mmejiunga na JF!

La sivyo itakuwa ni probability ndooogo sana kukutana na dada yako humu wa tumbo moja!
 
Ukiwa na dada yako na hujui hata kama ni member humu au id yake ni ipi basi mna tatizo...

Mkuu uwezekano huo upo pia "mfano"dada yako yupo nje ya nchi kwa miaka kadhaa na wewe upo Tanzania
Wewe ukawa unatumia jf na yeye anatumia lakini hamjapeana taarifa huoni ni rahisi kumvaa?
 
Wengine MKE na MUME wanatongozana tena humu kwa mara nyingine.YAANI ALMOST MEMBER WOTE WA MMU NI SINGLE.....
 
Back
Top Bottom