Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,840
Habari wakuu!!
Kuna maswali nimejiuliza kimsingi nimeona ni jambo linawezekana kabisa,ila njia pekee ya kuepuka swala hilo ni kuwa wastaharabu na watu wenye busara tunapochangia jambo hapa JF
Wanachama wa kiume hapa jf wana dada zao wajomba mashemeji n.k.wanaotumia mtandao huu kwa majina na picha bandia kimbembe kinakuja watu wanavyo tongozana hapa na wakati mwingine kutupina maneno makali sana
Nimejiuliza kwa mfumo huu uliopo si unaweza kumtongoza dada yako?au kaka yako?tena mkapeana maneno ya mahaba haswa mkaenda na pm mkazama kikweli kweli,utajisikia je siku ya siku unakuja kubaini ulikuwa unamtongoza ni dada yako?
USHAURI:kwa hali hii ngumu tuliyonayo hapa jamvini ili kuepuka aibu hii tupunguze mitongozo mikali tutongoze kiaina tu,na matusi kashifa tuache kabisa ili kulinda hali ya kuingia kwenye kisiwa cha mapenzi na dada/kaka yako na ndugu wengine wa karibu.
Nawasilisha!