Hapa JF watu wanatongoza DADA zao sana tu

Mkikutana uso kwa uso ni kuombana samahani tu.
Usipotongozwa humu itakuwaje wakati masaa yote tupo humu humu.
 
Wewe oooooohh kabanga anasema umtafute na wewe kirahisi unakubali angalia.
ahaaaa nick name nyingi sana mtu hata umjui dada yako bwana kwanini tusitumie majina yetu halisi
 
Last edited by a moderator:
Mkikutana uso kwa uso ni kuombana samahani tu.
Usipotongozwa humu itakuwaje wakati masaa yote tupo humu humu.

naomba nkutongoze ingawa najua kwa asilimia zote wewe Ni dada yangu kiumri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…