Hapa JF watu wanatongoza DADA zao sana tu

kwahiyo wakitongozana inakuhusu nini au unataka kaka yako nikusoundishe hakuna greatthinker mwehu never labda huu ujumbe ni wa vilaza wenzako from no where mpaka message za mapenzi na kuwa wachumba no investigation bora nikupe bia nyingine ya kibo iwe 11 mlevi mkubwa
 
Nimejiuliza upumbavu kama huu unaweza kuandikwa na mtu aliyekomaa hapa jf kweli
Nikakukagua kumbe umetoke FB 2/7/2014 ndio maana bado una hamu
 
Nimejiuliza upumbavu kama huu unaweza kuandikwa na mtu aliyekomaa hapa jf kweli
Nikakukagua kumbe umetoke FB 2/7/2014 ndio maana bado una hamu

hahaha bado sana huu upeo utabaki kwenye hoja za kutongozana na kutongoza charty chukua huu mzoga wako wenye scope 0.-
 
Last edited by a moderator:
kama kweli ni dada yangu lazima niijue ID yake humu,,,,tofauti na hapo sio dada yangu na akikiaa level namdandia tuu
 
Hahaaaa,haya nilikuwa nayasikia Kenya tu,mke mmoja wanaume wawili!!Haaaa kumbe watu wanaingia kichwa kichwa,fanyeni uchunguzi kwanza,msiwe na papara!Tunapendana na laazizi wangu Bantu lady,,tutakualika mkuu nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa,haya nilikuwa nayasikia Kenya tu,mke mmoja wanaume wawili!!Haaaa kumbe watu wanaingia kichwa kichwa,fanyeni uchunguzi kwanza,msiwe na papara!Tunapendana na laazizi wangu Bantu lady,,tutakualika mkuu nyumbani

Nitakuja na charty tupate angalau glass ya mvinyo kidogo
Hivi mkuu bantu lady bado yupo hapa jf kweli maana nahisi umemficha sehemu
Mpe uhuru usimbane sana!!
 
Last edited by a moderator:
Nitakuja na charty tupate angalau glass ya mvinyo kidogo
Hivi mkuu bantu lady bado yupo hapa jf kweli maana nahisi umemficha sehemu
Mpe uhuru usimbane sana!!

Hahahaaaaaaaaa,yupo sana mbona!!Karibuni sana
 
Japo nakupenda sana! Lakini itanibidi nijifunze kukuchapa sasa.

Hahahaa Rich Pol upo mkuu?Mke hachapwi na bakora mkuu,mke anachapwa na Vitz,Arteza,Rav4,,pamba za Guchi na vitenge vya Wax!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…