Na inashuka vizuri mnohapo vodka ni muhimu sana
Kuna Uzi kule unalalamika nauli yako haidhidi ELFU tatu kumbe upo kwa Putin 😂🙌🏾Hapa kwa Putin ndio kabisa inasoma -0.45© mpaka mawazo yanaganda. Picha ya hizi takwimu nawaletea network ikiyeyuka.
Wanatupanga sana 🤭🤭🚮Picha ya ndevu zilivyo ganda
Haya mambo ni magumu mno🤦🏽♀️Kuna Uzi kule unalalamika nauli yako haidhidi ELFU tatu kumbe upo kwa Putin 😂🙌🏾
Tuvumilie tu😆Wanatupanga sana 🤭🤭🚮
Sina nauli,njoo uzione
Kwakweli nalo litapitaTuvumilie tu😆
Wapo ulaya hao tuwaamini tu 😅 si wengine tupo A-town nguseroHaya mambo ni magumu mno🤦🏽♀️
Kwa hili baridi lilivyo hata friji yenyewe ina jotona stimu haipandi kichwani
Elfu 3 USD mkuu 🤣Kuna Uzi kule unalalamika nauli yako haidhidi ELFU tatu kumbe upo kwa Putin 😂🙌🏾