SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Wakuu hapo kati kati rais wa Syria alilaumiwa sana kwa kuwaua raia wake kwa silaha za kemikali mataifa makubwa sana sana marekani yalimshambulia huyu rais.
Leo mMarekani amesahau yote hayo anataka kuungnisha nguvu na Syria inayoua raia wake kwa kemikali kama wakubwa mlivyodai awali wawasambaratishe Isis.Huu ni unafiki rais wa syria usikubaliane nao.