Hapa duniani rafiki mnafiki ni Marekani

Hapa duniani rafiki mnafiki ni Marekani

we kilaza kumbuka silaha za isis zilitoka hukohuko kwa hao amerika na wenzie kipindi cha gadafi na sadam. Kushabikia usa inaitaji uwe chizi kidogo

mkuu usimsahau osama.Alipikwa wapi,kabla hawamwita gaidi,america walimwita kijana wao wakimtumia katka mipango yao.kuitetea america katika unafik inahitaj uwe mnafiki kidogo
 
Amani ya dunia haitapatikana mpaka siku Marekani na mpwa wake israel watakapo futika ndani ya ulimwengu huu....
 
Mbona humtaji muislamu mwenzako IRan na Saudi Arabia ambao hufinance Boko Haram, na ISIS? usiichukie marekani kwa sababu ni Taifa la nguvu la kikristo.

naona umeamua kuweka akili zako mfukoni.........then akili za mfukoni ukazileta jamii forums na ukasahau jamii forums sio nyumbani kwako.
 
amani ya dunia haitapatikana mpaka siku marekani na mpwa wake israel watakapo futika ndani ya ulimwengu huu....

hiyo haitatokea kakwe. Wewe na vizazi vyako vitatoweka lakini marekani na israel zitadumu milele
 
Waarabu wajinga kweli wanapigana wao wanasingizia Marekani sasa kama wamegundua marekani inawachonganisha si washituke.? hawa watu WAARABU wapuuzi kwel kwel.
 
Oh!, na hayo majambia na visu wanavyotumia kuchinjia watu ni made in America?

Hayo mawe wanayopigia wanawake wakiwachoka kwa kuwasingizia uzinifu nayo ni mali ya Marekani?

Silaha za Marekani zina sumaku kwa waarabu kwamba wakiziona lazima waanze kuuana?

Kuchinja watu walifundishwa na America?

Mbona naona kama unaakili chafu kuliko guruwe?

Unawezaje kusema ushabiki katika suala kubwa linalogusa uhai wa binadamu duniani, badala ya kuangalia facts?

Siongei na majuha kama wewe. Usinijbu, mbweha we!. Tafuta watu wasio kuwa na ufahamu kama wewe, ili mtakapoanza kuchinjana kwenye nyumba zenu za ibada ya mashetani, mfarijiane kwamba mnachinjana kwa sababu serikali imeruhusu uuzaji wa visu.

Pumba.ff kabisa!.

we kilaza kumbuka silaha za isis zilitoka hukohuko kwa hao amerika na wenzie kipindi cha gadafi na sadam. Kushabikia usa inaitaji uwe chizi kidogo
 
Waarabu wajinga kweli wanapigana wao wanasingizia Marekani sasa kama wamegundua marekani inawachonganisha si washituke.? hawa watu WAARABU wapuuzi kwel kwel.

hawa jamaa hata wakishindwa kuwadinya wake zao wanasingizia marekani....tatizo na adui wao mkubwa ni imani yao.over
 
naona umeamua kuweka akili zako mfukoni.........then akili za mfukoni ukazileta jamii forums na ukasahau jamii forums sio nyumbani kwako.

mkuu heri umemjibu huyu jamaa.Mimi ni mkristo ila nafahamu america walivyo sio marafiki wa kweli huo ni ukwel ambao huitaj kuwa muislamu kuona
 
Waarabu ndiyo chanzo cha matatizo makubwa hapa DUNIANI maana UGAIDI ni wao KUJITOA MHANGA ni wao mauaji ya watu wasio na hatia ni wao tu,ALQUIDA,ALSHABAB,BOKO-HARAM,ISIL na vikundi vingine vinavyoua watu huko IRAQ na SYRIA ni wao na wanajulikana na kila mtu lakini kuna watu wengine wanadai eti ni MAREKANI na wanaoebeza habari hizi ni hao hao WAARABU.

mkuu umetoka nje ya mada
 
Kwanza nani aliyekuuliza DINI yako??????Unajishebedua na kujiita wewe ni MKRISTO kumbuka DINI ni yako sisi haitusaidii.
mkuu heri umemjibu huyu jamaa.Mimi ni mkristo ila nafahamu america walivyo sio marafiki wa kweli huo ni ukwel ambao huitaj kuwa muislamu kuona
 
mnafiki ni yule anayekuchekea usoni moyoni anataka akuchinje...
 
Inabidi uwe na ubongo wenye afya na akili inayofanya kazi bara bara kuutambua unafiki wa MAREKANI na vibaraka wake...lakini kwa akili za kucopy na kupaste kwenye mitandao huwezi kujua....kwani media nyingi zipo chini yao...na wanapanga habari itoke na ipi iminywe......
THINK BIG, GET KNOWLEDGE...
 
Haihitaji kwenda chuo kikuu kutambua UNAFIKI waarabu ndo WANAFIKI wakubwa wanaua watu ovyo kwa visingizio mbali-mbali ikiwemo DINI na mara nyingi MAREKANI wao walishaona MAREKANI ni chaka la kuficha maovu yao hata wakishindwa vitani wanasingizia MAREKANI wakiua watu watu bila huruma wanasingizia MAREKANI na watu wenye akili ndogo hushabikia.
Inabidi uwe na ubongo wenye afya na akili inayofanya kazi bara bara kuutambua unafiki wa MAREKANI na vibaraka wake...lakini kwa akili za kucopy na kupaste kwenye mitandao huwezi kujua....kwani media nyingi zipo chini yao...na wanapanga habari itoke na ipi iminywe......
THINK BIG, GET KNOWLEDGE...
 
Kwanza nani aliyekuuliza DINI yako??????Unajishebedua na kujiita wewe ni MKRISTO kumbuka DINI ni yako sisi haitusaidii.

unadandia treni kwa mbele mkuu.Tango 73 amenituhumu nimeleta uzi huu kwa kuwa m ni muislamu,nikamjbu m n mkristo nisiye fumbia macho uozo kisa unatendwa na mkristo mwenzangu.Pia mkuu mi sijishebedui nina was was na jinsia yako na maneno unayotumia
 
U.S.A has no permanent FRIEND(s), no permanent ENERMY(-ies).
 
Back
Top Bottom