Hanywi pombe...havuti sigara...

dah! Shemeji unaua' kwanza pombe kwangu haram' hata glas moja cmalizi' ulevi wangu ni soda na maji' hata baa ckai labda kama kuna cha kununua.
Hlf mbona mkeo Madame B hujamtaja? Au unataka me ndo niseme? Nitatoa siri

no,no,no shemeji usifanye hivyo kwani utakua unaniumbua mimi plez niko chini ya miguu yako
 
Mimi ni dereva na mara nyingi nakua nampeleka boss maeneo hayo, namie sio cha p kama unavyonionaga na misoda.
Hayo ndo mateso ya madereva, siku nyingine hua tunaekeshwa nje ya guest boss yuko ndani analamba, huku dreva unalambwa mmbu.

emu muogope Mungu,ujue mungu anakuona...........zile konyagi unazo kunywa huwa ni maji?
 
hahahahahaha we umeanza kutoa siri zako za ndani.. mi nkizidisha hua nachukua avatar ya CUTE naikodolea mpaka nichoke ata sina makuu.!!! Tena ukilewa na mimi usalama ni % 100 ka vipi muulize chalminglady

huo wema umeuazima wapi?
 
Hanywi pombe wala havuti sigara...atakuwa bikira au mseja, mwenye ibada ya kweli kwa muumba.
 
Back to topic.. wanaume hambao sio walevi wala wavutaji to some extent wanapenda kweli mambo yetu lakini haiwezi kuzidi mwanaume mnywaji especialy akiwa kaishatupia vitu vyake, kwa ladies ni bora ukatoka na mmeo hata kama we hunywi sababu huko zikimzidi haoni tabu kupiga ata show time..

Unajua kingereza kinachuja ukali wa tukio au uzito wake!
Instead of "show time"
ungeweka kwa Kisw kwamba akishalewa hata "majanini" au "kichochoroni" au "kwenye gari bovu" "pagala" n.k kwani "showtime" inapelekea kama upuuzi aufanyao huyo mwanaume mlevi ni kama kafanya kitu cha kiungwana hivi.
 
nimekumbuka marafiki zangu kama wanne ivi.. hawanywi , hawavuti , na hawana wasichana.. Ila ni waambeeaaa balaaa.. zaidi hata ya wadada.. so ni bora mwanamume kua na ulevi mmoja kati ya hayo matatu kuliko kuwa na tabia za kishosti shosti...
 
Ni kwanini aninunulie wakati vitu vipo vimejaa tele ni kiasi cha kuchagua tu nani Asprin, Rejao, ritz, Mtambuzi, Kunta Kinte daaah ni wengi sana aiseee,hogo la nini mie! Ila kiukweli wewe Asprin ndo chaguo langu, wengine wote cha mtoto tu.
Well noted, nadhani wote wenye macho yasiyo na matatizo wataisoma vizuri sana hiyo red:washing::photo:
 
watu wanapenda kutafuta mapungufu ya wengine. mara nyingi its one of these kwa wanaume

  • ulevi
  • uzinzi
  • uvutaji sigara
wasipoona hizi watazusha majungu yasiyo na kichwa au miguu, kama cacico anayedhani mwanaume asiyependa mpira ni wa kumkwepa
@blaine n kurt jamani ni mtazamo wangu tu, wapo mbona wakaka wanaopenda chachandu na wasiotaka hata kuziona, wapo wadada wanaopenda mahogo au vibamia, wapo wanaopenda kelele wapo pia wanaopenda mute! ilimradi tu jamani! kha!
 
Well noted, nadhani wote wenye macho yasiyo na matatizo wataisoma vizuri sana hiyo red:washing::photo:

:shock: :spy: (nimekuvulia nanihiii) Mr usipitie kabisa mitaa hii leo puliiiiz
 
Ruhazwe umenikumbusha hako kawimbo nakapenda sanaaa, wakati ule kanapigwa sana nilikuwa napata masanga maeneo fulani.
 
:flypig: ndugu zangun wachen msemo wenu kama hatumii sio kana kwamba ndo ananihee sana la hasha mwingine mirung kwa sana, na cio chin 2 kama mnavyofikiri. karibu nikupe ujanja kama unananii sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom