Hanstone kinachomkwamisha ni kiburi au wanamsingizia na kumuonea?

Hiyo Support hatukatai lkn nina uhakika yeye alitoa zaidi ya nusu,je msanii gani unaye mjua ww ndani ya miaka minne akawa na hela kama Kondeboy.

Yy aliuza nyumba mbili na kutoa mil 200,jembe ni jembe akaongeza mili 100.

Show zilikuwa juu,sh ngapi?

Mgao ulukuwa juu kwa % ngapi?

Alafu umemzungumzia Qboy WCB wamemnyonya,sasa mbona kila siku anamwomba msamaha Diamond arudi WCB,manake kama kungekuwa kubaya asinge omba kurudi.

Kifesi WCB ndani ya miaka mitatu WCB ana nyumba mwanza na gari.Kifesi kaondoka WCB sababu ya imani yake ya kisabato,anaona anakosea kufanya kazi siku ya sabato na kaondoka sasa hivi ana kampuni yake ya kupiga picha kwenye masherehe na huwezi mzuia mtu ambaye kwa imani yake anaona anachofanya ni haram.

Mavoko kaingia WCB,alitoa nyimbo ngapi na hit songs zilikuwa ngapi,alikaa kwa miaka mingapi?Mavoko alikuwa chini ya Papaa alipata kiasi gani?,Kaenda Kenya kwa King Kaka alikuwa na kiasi gani?

Alafu useme leo hii WCB wamemnyonya?Kwa mujibu ya intvw aliyoifanya Papa Misifa na Soudy mpaka sasa hivi mavoko andaiwa mil 50 na Papaa,baada ya kuvunja mkataba na kwenda kwa Papa Misifa.

Mavoko kaondoka WCB 2018,je mpaka hivi sasa ana kiasi gani?
Kuwa na fikra huru kisha urudi hapa tuzungumze.
 
Mwenye maisha mazuri ni yupi ??

Au unaongelea maisha ya Instagram ??

Mavoko, Kifesi, Qboy, Mwarabu wote hao wamefanya kazi hapo na walikuwa wana maisha mazuri sana Instagram 🤣🤣🤣
basi tufanye hawana maisha ni choka mbaya na huwa wanakuja kula kwenu na kuendesha gari za kuazima, hata hizo nyumba walizojengea wazazi wao mfano mboso pamoja na kununulia gari uliwafadhili. Lakin recording label anayoianzisha rayvanny pia umemfadhili ili kumfichia haibu. WCB ndiyo label ambayo msanii yoyote yule anatamani kusainiwa. Huyo kiface maisha yake mabaya ni yapi? Mtu katoka pale bila kufukuzwa kaenda kuanzisha kampuni yake bado kwako ana maisha magumu? Mwarabu fighter sasa ivi ana kampuni yake pia anakodisha mabaunsa kwenye matukio mbalimbali kwako ana maisha mabaya. Q boy mpaka kesho analilia kurudishwa wasafi kwani njee ya wasafi maisha kwake yamekuwa pangu pakavu tia mchuzi nipapase kwako utasema alikuwa ananyonywa? Watu wanatimiza ndoto zao pale wcb ww kalia ujinga na porojo za kinafiki huko vijiweni
 
basi tufanye hawana maisha ni choka mbaya na huwa wanakuja kula kwenu na kuendesha gari za kuazima, hata hizo nyumba walizojengea wazazi wao mfano mboso pamoja na kununulia ghari uliwafadhili. Lakin recording label anayoianzisha rayvanny pia umemfadhili ili kumfichia haibu. WCB ndiyo label ambayo msanii yoyote yule anatamani kusainiwa. Huyo kiface maisha yake mabaya ni yapi? Mtu katoka pale bila kufukuzwa kaenda kuanzisha kampuni yake bado kwako ana maisha magumu? Mwarabu fighter sasa ivi ana kampuni yake pia anakodisha mabaunsa kwenye matukio mbalimbali kwako ana maisha mabaya. Q boy mpaka kesho analilia kurudishwa wasafi kwani njee ya wasafi maisha kwake yamekuwa pangu pakavu tia mchuzi nipapase kwako utasema alikuwa ananyonywa? Watu wanatimiza ndoto zao pale wcb ww kalia ujinga na porojo za kinafiki huko vijiweni
Una miaka mingapi mkuu??

Jiweke mbali na Instagram kidogo akili yako ikurudie urudi katika hali ya kawaida.

Hao wasanii huwajui zaidi ya kuwaona Instagram.

Labda nikwambie kitu, hao Wasafi kabla hawahama Sinza nimeenda sana pale. Kuna msanii ( simtaji ) nilikuwa nampeleka kwa bodaboda. Enzi hizo huyo Qboy bado yupo hapo na alikuwa anavimba balaa. Achana na sasa hivi hata kula shida mpaka anatamani arudi awe anapata hata makombo hapo.

Mengine unayoyaona mitandaoni kuhusu wasanii, tumia na akili yako.

Ingia YouTube, check msanii anaitwa Peace Amorre ( huyo ameimba sana Twanga Pepeta na ni mdogo wake Asha Baraka ) tunakaa kaya moja.

Wasanii wa bongo ni wasanii haswaaaaa.
 
mm siangalii maisha ya instagram, ni miaka mingapi imepita toka ofisi zihamishwe Sinza.? Hivyo basi itoshe kusema kuwa mbali na maisha ya instagram lakini mafanikio pia wanayo namba hazidanganyi.! Labda tunatofautiana katika kipimo cha mafanikio tu na nisijue mwenzangu unatumia kipimo gani.
 
mbona wana maisha mazuri tu kuliko hizo labels nyingine hapa bongo.
Lavalava anaishi masaki kwa mshikaji wetu Hana maisha yoyote.

Huyo Rayvanvy alikuwa kapanga tabata ghorofa kashindwa kulipa.

Mboso anaishi Mbweni kapanga ghorofa.

By the way wana maisha kwa level ya mtanzania ni mazuri kiasi. Ila hayaendani n majina Yao.
 
basi tufanye hawana maisha ni choka mbaya na huwa wanakuja kula kwenu na kuendesha gari za kuazima, hata hizo nyumba walizojengea wazazi wao mfano mboso pamoja na kununulia gari uliwafadhili. Lakin recording label anayoianzisha rayvanny pia umemfadhili ili kumfichia haibu. WCB ndiyo label ambayo msanii yoyote yule anatamani kusainiwa. Huyo kiface maisha yake mabaya ni yapi? Mtu katoka pale bila kufukuzwa kaenda kuanzisha kampuni yake bado kwako ana maisha magumu? Mwarabu fighter sasa ivi ana kampuni yake pia anakodisha mabaunsa kwenye matukio mbalimbali kwako ana maisha mabaya. Q boy mpaka kesho analilia kurudishwa wasafi kwani njee ya wasafi maisha kwake yamekuwa pangu pakavu tia mchuzi nipapase kwako utasema alikuwa ananyonywa? Watu wanatimiza ndoto zao pale wcb ww kalia ujinga na porojo za kinafiki huko vijiweni
Hahahaha dogo hao wasanii tunawafahamu a-z ngoja tukae kimya kulinda heshima zao.

Mwambieni Lavala aache kutombeir madem studio za masaki anapoishi.
 
Hao wamezoea kuwaona Hawa wasanii kwenye tv na Instagram
Mkuu yaani hakuna kitu kinacho brainwash watu kama media.

Kuna msanii tunaishi naye yaani 🤣 ukimwona kwenye media au instagram unaweza kudhani kashuka jana kutoka kwa Trump.

Ila jamaa ana hali ngumu anaishi kwa kutembeza nguo za watoto ( anapoint Karume ).

Kabla Magu hajaingia madarakani, alikuwa anaimba kwenye mabendi ya usiku, Twanga Pepeta( Hawa wanaoimba Bar ) basi kila siku mshkaji alikuwa anachenji mademu 🤣🤣🤣🤣🤣.

Juzi tena kuna kisherehe kimetokea sehemu, akaja Msami ( kuna siku nilimwona EATV anadanganya watu kanunua gari mpaka akawa anaonesha kadi. WakativGari lenyewe alipewa na ndugu yake yuko South, alivyorudi akalichukua. Ikabidi ampore mama yake kigari fulani alikuwa nacho, hali ni tete.
 
Lavalava anaishi masaki kwa mshikaji wetu Hana maisha yoyote.

Huyo Rayvanvy alikuwa kapanga tabata ghorofa kashindwa kulipa.

Mboso anaishi Mbweni kapanga ghorofa.

By the way wana maisha kwa level ya mtanzania ni mazuri kiasi. Ila hayaendani n majina Yao.
Na hayo maisha wanaya maintain kwa kuendelea kuimba. Hakuna namna.

Akipumzika kuimba hata miezi 6 anakuwa na hali tete mnoooo.
 
Hahahaha dogo hao wasanii tunawafahamu a-z ngoja tukae kimya kulinda heshima zao.

Mwambieni Lavala aache kutombeir madem studio za masaki anapoishi.
sasa ulitaka atombee kwenu? Tatizo mnafel kulinganisha mafanikio ya hawa wasanii na njee huko? Ni kipindi kichache kimepita toka mziki kuanza kuwa na tija kwa wasanii wetu. Hivyo huna haja ya kudhalau angalau kwa kile kidogo alichonacho msanii ikiwa wakongwe tu hawana.
 
kwahiyo wasanii wa label gani tofauti na wcb Wana maisha yanayoendana na label zao?
Mkuu kwani hapa tunalinganisha label za Muziki ??

Mjadala hapa ni maslahi ya wasanii, bora hata kina Mutta wamewadhulumu kina Saida Karoli halafu wamekaa kimya.

Kuliko sasa hivi mtu kujifanya anakusaidia anakusaidia wakati UNAFIKI tu
 
Mkuu yaani hakuna kitu kinacho hrainwash watu kama media.

Kuna msanii tunaishi naye yaani ukimwona kwenye media au instagram unaweza kudhani kashuka jana kutoka kwa Trump.

Ila jamaa ana hali ngumu anaishi kwa kutembeza nguo za watoto ( anapoint Karume ).

Kabla Magu hajaingia madarakani, alikuwa anaimba kwenye mabendi ya usiku, Twanga Pepeta( Hawa wanaoimba Bar ) basi kila siku mshkaji alikuwa anachenji mademu .

Juzi tena kuna kisherehe kimetokea sehemu, akaja Msami ( kuna siku nilimwona EATV anadanganya watu kanunua gari kwa pesa za Muziki) kanunua gari mpaka akawa anaonesha kadi. Gari lenyewe alipewa na ndugu yake yuko South, alivyorudi akalichukua. Ikabidi ampore mama yake kigari fulani alikuwa nacho, hali ni tete.
Watu wako shamba huko wanawaona kwenye tv hawajui ukweli.

Wakina Moni Centrazone na Nuhu mziwanda wanashinda Kijitonyama Kama machokoraa ila ukiwaona Instagram utasema wanaishi ulaya.

Hawa wasanii nawajua na ninajichanganya nao ni wachache Sana wanayaishi Yale maisha ya kwenye mtandao
 
Mwenyewe nashangaa,Harmonize anaonandoka Wasafi aliuza nyuma mbili na alitoa milion 200 bank ili alipie mkataba wake na WCB alio uvunja,aliyaongea haya wakati wa uzinduzi wa nyimbo za Country boy na hivyo vyote kavipata ndani ya miaka minne akiwa WCB.

Sasa najiuliza hizo mil 200 na nyumba mbili alizipataje,kama alikuwa ananyonywa.

Wakati wasanii wengine kwenye label wana mwaka wa tatu huu lkn hali zao hazieleweki,brand hazieleweki.
Na wewe ukaamini?
 
Back
Top Bottom