Hansom Tanzania Ltd

shyjuu

Member
Nov 10, 2016
14
2
Kwa anae faham ofisi za hi kampun APA Dar plz anipe maelekezo
Na barua ya kuomba kazi nataka kuipeleka
 
wapo manzese au mabibo kama unatokea ubungo bus terminal upande wa kushoto utaona ofisi zao wanajihusisha na ukodishaji kama sio uuzaji ya heavy duty equipment
 
Back
Top Bottom