Naomba kuelekezwa ofisi za kampuni hii

Naomba kuelekezwa ofisi za kampuni hii

Anayejua ofisi za Kampuni ya maji ya Dew Drop Drinks Co. Ltd ni wapi kwa hapa Dar es Salaam
wapo buguruni rozana kwa ndani kidogo,ukishindwa nenda
1704466296687.png
itakufikisha hadi ofisini kwao
 
Na mm nachojua wapo sumbawanga.
Kule buguruni nadhani wale ni Afya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom