kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,064
- 1,448
Aliwezaje kichezea Villa? Kauli hiyo anaisemea Etolie au Simba? Hao Etoile wenyewe hawana mdomo?HANS POPPE AWAAMBIA YANGA SC; "KWA OKWI WAMELIWA"
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
Akizungumza na BIN ZUBEIRY jioni hii, Kapteni huyo wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amesema kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Etoile du Sahel ya Tunisia na hawezi kucheza Yanga.
Ni kweli Etoile hawakumlipa mishahara yake Okwi. Ni kweli mchezaji asipolipwa mishahara, FIFA inamruhusu kuhamia timu nyingine bila ya masharti. Ni kweli hilo ndilo lililomtokezea Drogba kule China na FIFA kumbariki ahamie Galatasaray kwa sababu hiyo. Ni kweli kwamba ama hukuwa ukiyajua haya au unadanganya umma makusudi kwa utashi wako.Tusubiri tuone! Ni kweli Okwi alishindwa kutumika michuano rasmi ya CHAN! Ni kweli alikuwa Sc Villa kwa mkopo!Ni kweli Yanga hawakuwa na ujasiri kutangaza usajili huo mapema! Ni kweli hata dau la $ 20, 000 haliakisi dhamani halisi ya Okwi! Mnnh yaweza kuwa ni mkenge kweli?
hayo magarasa anayonunua nyie ndo mnakuja baadae kuyalaghai kwa pesa na nyumba na kuyanunua?? timu nzima ya yanga haina scout team yani wanasubiri simba watafute wao waje na pesa zao za unga kuja kuhujumuHuyo kapteni kila msimu anapigwa bao kuanzia Yondani,Twite ,Ngasa.Anachoweza ni kununua magarasa
Hao maskauti ndio walimdanganya na kuwanunua kina Akufor,Mbiyavanga,Waluya,Ochieng,Shiboli,Henry Joseph,Humudhayo magarasa anayonunua nyie ndo mnakuja baadae kuyalaghai kwa pesa na nyumba na kuyanunua?? timu nzima ya yanga haina scout team yani wanasubiri simba watafute wao waje na pesa zao za unga kuja kuhujumu
HANS POPPE AWAAMBIA YANGA SC; KWA OKWI WAMELIWA
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba watani wao wa jadi, Yanga SC wameingia mkenge kumsajili Emmanuel Okwi na labda watamtumia kwenye mchezo wa Nani Mtani Jembe pekee, lakini zaidi ya hapo hatacheza Jangwani kwenye michuano yoyote rasmi.
Akizungumza na BIN ZUBEIRY jioni hii, Kapteni huyo wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amesema kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Etoile du Sahel ya Tunisia na hawezi kucheza Yanga.
Hata kwa kina Yondan na Twite walitupa moyo hivyo hivyo
Ni kweli Etoile hawakumlipa mishahara yake Okwi. Ni kweli mchezaji asipolipwa mishahara, FIFA inamruhusu kuhamia timu nyingine bila ya masharti. Ni kweli hilo ndilo lililomtokezea Drogba kule China na FIFA kumbariki ahamie Galatasaray kwa sababu hiyo. Ni kweli kwamba ama hukuwa ukiyajua haya au unadanganya umma makusudi kwa utashi wako.
Kwani Galatasaray wakimuuza Drogba, timu itayomnunua si ndio itakuwa third party? Ilimradi ameuzwa kihalali kwa second party, basi second party ina haki ya kumuuza kwa rhird party, third party kwa fourth party..... Hadi mwisho wa dunia. Sasa utofauti na hili la Okwi ni upi? Lakini unajua kwamba FIFA ni mtandao mmoja ambapo uhamisho hufanyika kwa kutumia Mfumo wa Mlingano wa Uhamisho, Transfer Matching System? Mchezaji yeyote mwenye utata hawezi kupitishwa na mfumo huo, kumbuka Asamoah alivyoshindwa kusajiliwa Yanga mara ya kwanza. Kwa hivyo uhamisho ukifanywa na FA ya nchi yoyote mwanachama wa FIFA, kama huu wa FUFA kwa Okwi, unakuwa umefanywa na FIFA yenyewe. Upo?Issue ya Okwi inautofauti na ya Drogba, Hapa kuna 3rd part ambaye ni Simba! Na ndio maana hakuruhusiwa kutumika CHAN kama mchezaji wa ndani kutoka SC Villa! Upo hapo! Tusubiri tu.muda utaongea kama ilivyokuwa ile issue ya Ngasa! Mwisho ilibainika kasaini mara 2!!
Issue ya Okwi inautofauti na ya Drogba, Hapa kuna 3rd part ambaye ni Simba! Na ndio maana hakuruhusiwa kutumika CHAN kama mchezaji wa ndani kutoka SC Villa! Upo hapo! Tusubiri tu.muda utaongea kama ilivyokuwa ile issue ya Ngasa! Mwisho ilibainika kasaini mara 2!!
Kama yote hayo yamefanyika kwa nini FUFA wanataka ufafanuzi kutoka FIFA?Kwani Galatasaray wakimuuza Drogba, timu itayomnunua si ndio itakuwa third party? Ilimradi ameuzwa kihalali kwa second party, basi second party ina haki ya kumuuza kwa rhird party, third party kwa fourth party..... Hadi mwisho wa dunia. Sasa utofauti na hili la Okwi ni upi? Lakini unajua kwamba FIFA ni mtandao mmoja ambapo uhamisho hufanyika kwa kutumia Mfumo wa Mlingano wa Uhamisho, Transfer Matching System? Mchezaji yeyote mwenye utata hawezi kupitishwa na mfumo huo, kumbuka Asamoah alivyoshindwa kusajiliwa Yanga mara ya kwanza. Kwa hivyo uhamisho ukifanywa na FA ya nchi yoyote mwanachama wa FIFA, kama huu wa FUFA kwa Okwi, unakuwa umefanywa na FIFA yenyewe. Upo?