Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,153
Kwani Galatasaray wakimuuza Drogba, timu itayomnunua si ndio itakuwa third party? Ilimradi ameuzwa kihalali kwa second party, basi second party ina haki ya kumuuza kwa rhird party, third party kwa fourth party..... Hadi mwisho wa dunia. Sasa utofauti na hili la Okwi ni upi? Lakini unajua kwamba FIFA ni mtandao mmoja ambapo uhamisho hufanyika kwa kutumia Mfumo wa Mlingano wa Uhamisho, Transfer Matching System? Mchezaji yeyote mwenye utata hawezi kupitishwa na mfumo huo, kumbuka Asamoah alivyoshindwa kusajiliwa Yanga mara ya kwanza. Kwa hivyo uhamisho ukifanywa na FA ya nchi yoyote mwanachama wa FIFA, kama huu wa FUFA kwa Okwi, unakuwa umefanywa na FIFA yenyewe. Upo?
Mkuu,
Kunaweza kukawa na Uhalali wa Okwi kua Yanga,
Ila ukweli mmoja tu unabaki kua AHMED MAGARI wa Yanha ni MUHUNI. Hii sio mara ya kwanza kufanya uhuni kama huu. Yaani inawezakua ni halali but haipo ki-proffessional zaidi.
Mbinu mbinu za Ujasusi ni Uhuni,
Kuficha ficha mambo hadi kuibukia "deadline" ndio wanamuonyesha ni Uhuni,
Kusainisha mchezaji wa Simba kwa mbwembwe ni Uhuni,