Hivi huyu hans popo si ndo yule aliyefungwa kwa uhaini au siyo?
Huko mikia yaani wote majambazi tu! mara mwingine kateka gari la shaba, mara huyu anataka kupindua nchi ya nyerere,mwingine kaiba magodoro hotelini.... yaani majambazi tuuuuu!!!
ha ha ha ha hahahaha, wahenga wa huko kwetu walisema 'Ng'wilengi ete ng'wigongoji'Mwingine aliiba pale FAT wakati huo. Ndio viongozi wao siku zote. Sijui kama Dalali kamaliza form four yake.
Vikao kwa lugha ya kingereza anapiga chenga.