chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,305
Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa.
Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu.
Au laa, apangiwe segment ya jioni ya michezo na mtu mwingine katika kundi hilo
Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu.
Au laa, apangiwe segment ya jioni ya michezo na mtu mwingine katika kundi hilo