Kala pesa kupitia chadema sasa anaenda kula pesa kupitia kwengine, bora nijikite ktk kumtafuta muumba wanguHongera Mheshimiwa Karibu Singida Mashariki ukatuwakilishe
Kala pesa kupitia chadema sasa anaenda kula pesa kupitia kwengine, bora nijikite ktk kumtafuta muumba wanguHongera Mheshimiwa Karibu Singida Mashariki ukatuwakilishe
Kura za Maoni zilifanyika lini ndugu yangu?Hongera Mheshimiwa Karibu Singida Mashariki ukatuwakilishe
Hawajafika wanne kwa mujibu wa Quran, wahi nafasi bado zipo.Hivi Kitenge ana wake wangapi?
Unayemtaka awahi nafasi aweza kuwa Babaako Mzazi, JF ina mambo mazito sana!Hawajafika wanne kwa mujibu wa Quran, wahi nafasi bado zipo.
4Hivi Kitenge ana wake wangapi?
Kura za maoni bado acha uongo, sasahivi ni mchakato wa Kamati za siasa za mikoa kujadili majina na kutuma mapendekezo Halmashauri kuu ya Taifa ambayo itarudisha majina matatu kwa ajili ya kupigiwa kura apatikane mgombea mmoja ambaye atachukua fomu ya kugombea ubunge.
Baada ya mchujo majina matatu ndiyo yatarudishwa kupigiwa kura..kwanini wasipigiwe kura jimboni na wanachama walioko huko?
makobazi wanaruhusiwa kuoa wake dazani
Chombo yake ya 4,Kura za maoni bado acha uongo, sasahivi ni mchakato wa Kamati za siasa za mikoa kujadili majina na kutuma mapendekezo Halmashauri kuu ya Taifa ambayo itarudisha majina matatu kwa ajili ya kupigiwa kura apatikane mgombea mmoja ambaye atachukua fomu ya kugombea ubunge.
Ngoja simba wa cage ya kizimkazi aamue chama kishiriki uchafuzi wa wana kijani uone mshindi wenu atakavyogarakazwa na rafiki wa simba wa kwenye cage ya kizimkazi.Hongera Mheshimiwa Karibu Singida Mashariki ukatuwakilishe
Labda litokee la kutokea, lakini hali ilivyo kuna Diwani wa Kata moja ndo mbunge mtarajiwa. Nusrat anaonekana mgeni kwenye chama, wanasema asubiri kwanza, siyo kuja umekuta watu na kupewa tu cheo😀Huyo covid wamkatalie mbali, ni msaliti siasani, wana ikungi mashariki bora wachague mgombea mwingine hata wa ACT kuliko huyo covid
Baada ya mchujo majina matatu ndiyo yatarudishwa kupigiwa kura